Hussein Marandu
  • Male
  • Arusha
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook
Share Twitter

Hussein Marandu's Friends

  • Sophia  Brayan
  • Precious Tuma
  • Francis allan
  • Kakytee Ahmed Mpemba
  • ◄MΘh@med►محمد

Hussein Marandu's Groups

Gifts Received

Gift

Hussein Marandu has not received any gifts yet

Give a Gift

Hussein Marandu's Page

Latest Activity

IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Dada Saumu,@ kuhusu kupotea kaburi la mama yako,nakupa pole sana kwa hilo,na hilo limetokana na itikadi mbovu na fikra wanayojaribu kupanda katika watu hao wafuasi wa Wahhabi,isingelikuwa watu hawa kueneza fikra zao hizo potofu,basi leo hii…"
9 hours ago
Saumu Ali Omari replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"A.ALEIKUM WALAH MATURULAH WABARAKAATU,HATA MM NIMESIKILIZA REDIO IMAN WANASEMA SI RUHUSA MUISLAM KUJENGEA KABURI,MAMA YANGU MZAZI AMEFARIKI SIKUJENGEA KABURI LAKE MATOKEO YAKE NILIKWENDA ALIPOZIKWA MAREHEMU MAMA CKULIKUMBUKA TENA KABURI LAKE SABABU…"
13 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Ibn Taimiyya huyu ,ambaye ndiye rais mwasisi wa madhehebu iliyobeba itikadi ya hizi tunazoziona ikiwemo hii ya kuvunja makaburi na kupoteza athari zake hasa yale yaliyojengewa dharihi au  yaliyopo ndani ya jengo au aina yoyote ile ya…"
15 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Waalaimus-salaam, ndugu yetu Husein. Mtu anapokuwa hai,uislaam umethibiti kuwa anatakiwa kuheshimiwa,lakini uislaam haujasema aheshimiwe akiwa hai tu,bali hata anapokufa heshima yake inaendelea,kifo sio sababu ya kuondoa heshima ya…"
16 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Itikadi ya kundi hili kwa muhtasari: Mwasisi wa itikadi ya kundi hilo li Ibn Taimiiya,baada ya Ibn Taimiyya akaja muhammad bin abdul-wahhabi,huyu alipokuja akitokea  eneo hilo na Najdi kama alivyotabiri Mtukufu Mtume (s.a.w.w),akaja n akuvaa…"
16 hours ago
Hussein Marandu liked IL-YA's discussion KUFUNGA MIKONO KATIKA SWALA NI BID'A SIO SUNNA YA MTUME (S.A.W.W) ...!
23 hours ago
Hussein Marandu liked bongo's discussion WAISILAMU ACHENI USHIRIKINA NI DHAMBI KUBWA RUDINI KWA MOLA MTAFANIKIWA
Apr 12
Hussein Marandu replied to Hussein Marandu's discussion ITIKADI INAYOHUSU UTUME KWA MASUNNI NA MASHIA -2-Bongo na wapambe wako acha kufikirishwa.Alhidaaya.com,Mawahhabi wasioijua hata tarekh ya Uislam.Lengo lao ni kuwapotosha Waislam,lkn alhamdulillah,Wais in the group UKUMBI WA KISLAMU
"MPUMBAVU HUAMINI KILA KITU BALI MWENYE BUSARA HUENDA KWA KUFIKIRI. Waswahili wana msemo:maji hufuata mkondo.Mwanzo alikuja Masonga.Akatukana weeee sijui aliishia wapi.Sasa yupo bongo.Mkondo wa matusi na akhlaq za Kiwahhabi zinaendelea.Naam, ndege…"
Mar 27

bongo replied to Hussein Marandu's discussion ITIKADI INAYOHUSU UTUME KWA MASUNNI NA MASHIA -2-Bongo na wapambe wako acha kufikirishwa.Alhidaaya.com,Mawahhabi wasioijua hata tarekh ya Uislam.Lengo lao ni kuwapotosha Waislam,lkn alhamdulillah,Wais in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Huna lolote ni mvurugaji wa amani tu.Kama unashiriki kujipiga kifua  siku ya Ashura na wengine wanafunga sunna hapo tumuachie Allah ndio mjuzi zaidi ndie atakae hukumu.Kazi yako unayokuleta humu ni kutoa hadithi za uongo na kunadi…"
Mar 21
Hussein Marandu replied to Hussein Marandu's discussion ITIKADI INAYOHUSU UTUME KWA MASUNNI NA MASHIA -2-Bongo na wapambe wako acha kufikirishwa.Alhidaaya.com,Mawahhabi wasioijua hata tarekh ya Uislam.Lengo lao ni kuwapotosha Waislam,lkn alhamdulillah,Wais in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Dada yangu Bongo na Waislam wenye utambuzi, Asalaam alaykum. Nasikitika kwamba mosi huna akhlaq na haifai kuniita "wewe Hussein" bila hata kujua kwamba waislam wote ni ndugu na ndugu huheshimiana.Bila shaka hizi ni athari za Kiwahhabi…"
Mar 21
bongo replied to Hussein Marandu's discussion ITIKADI INAYOHUSU UTUME KWA MASUNNI NA MASHIA -2-Bongo na wapambe wako acha kufikirishwa.Alhidaaya.com,Mawahhabi wasioijua hata tarekh ya Uislam.Lengo lao ni kuwapotosha Waislam,lkn alhamdulillah,Wais in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Wewe Hussein kama umetumwa kuja kukoroga waisilamu useme tu.Unang'ang'ania Usunni,Uwahabi,Ushia n.k.Huu sio wakati wa kutenganisha waisilamu huu ni wakati wa waisilamu kuungana tafadhali.Kila unapoandika makala yako ni makala za chuki…"
Mar 20
Hussein Marandu commented on damnan's group UKUMBI WA KISLAMU
"FIKRA ZA KIWAHHABI NI KUYAKUFURISHA MADH-HEB NA KUPANDA MBEGU YA CHUKI NA UTENGANO MIONGONI MWA WAISLAM. Enyi Waislam wenye utambuzi, Asalaam alaykun.Mmesoma nasiha za mara kwa mara kutoka kwa ndugu yetu Bongo.Safi sana.Namsihi ndugu yetu huyu…"
Mar 20
Hussein Marandu commented on damnan's group UKUMBI WA KISLAMU
"MAPINDUZI YA KIISLAMU NA HUJUMA ZA KIWAHHABI. Ewe Muislam mwenye utambuzi, Asalaam alaykum. Kwa hakika Mapinduzi ya Kiislam nchini Iran,yalileta mshituko mkubwa ktk ghuba,na kuzisononesha tawala zote zilizoko sehemu hiyo na hasa hasa zinazohusiana…"
Mar 10
Hussein Marandu commented on damnan's group UKUMBI WA KISLAMU
"MSIMAMO WA MAWAHHABI NA QADHIA YA TAUHIDI -2- Ewe Muislam mwenye utambuzi. Asalaam alaykum, Utakapolinganisha yale yaliyonakiliwa kutoka kwa As-Habul-Hadith kuhusu Tauhid ya Mwenyezi Mungu na kumtakasa kwake utastaajabu,kwani Imam Al-ash-ari…"
Mar 8
Hussein Marandu commented on damnan's group UKUMBI WA KISLAMU
"MSIMAMO WA MAWAHHABI KTK QADHIA YA TAUHIDI -1- Ewe Muislam mwenye utambuzi, Asalaam alaykum, Cha ajabu (na midhali upo hai utaona maajabu zaidi) ni kwamba Uwahhabi unatokana na fikra ya Sheikh mpotofu aitwaye Ibn Taimiyyah.Ktk kitabu chake…"
Mar 8

Profile Information

Name
hussein
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
your papers are very interested particularlly ijumaa
How did you know about Global Publishers
Newspaper

Hussein Marandu's Photos

Loading…
  • Add Photos
  • View All

Hussein Marandu's News

LEO:SIKU YA QUDS:NI SIKU YA WATU WANAOONEWA,KUKANDAMIZWA NA KUNYANG'ANYWA HAKI ZAO.

Posted on August 27, 2011 at 12:40am 0 Comments

"Nawaita Waislamu ulimwenguni pote kutukuza Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kama 'Siku ya Quds'na kutangaza mshikamano wa Waislamu ktk kuunga mkono HAKI HALISI za Waislamu wa Palestina."

(Imam Khomeini,Ramadhani 1399 B.H/Augosti 1979).

Harakati za Wapalestina -hususan harakati zao za silaha-uvamizi wa Al Quds umeteka mawazo ya Waislamu.Ni kwa muda gani ulimwengu utaziba masikio yake ili usisikilize umwagaji damu wa Wapalestina mikononi mwa wavamizi?Je!Wapalestina…

Comment Wall (9 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 11:37am on February 11, 2012, Yasi m.marandu said…
Assalam alaykumu kaka hussen mambo vp?mie sijambo vp wewe
At 9:15am on August 24, 2011, Yasi m.marandu said…
Mambo vp kaka hussen
At 9:15am on August 24, 2011, Yasi m.marandu said…
Mambo vp kaka hussen
At 9:14am on August 24, 2011, Yasi m.marandu said…
Mambo vp kaka hussen
At 9:13am on August 24, 2011, Yasi m.marandu said…
Mambo vp kaka hussen
At 9:12am on August 24, 2011, Yasi m.marandu said…
Mambo vp kaka hussen
At 9:11am on August 24, 2011, Yasi m.marandu said…
Mambo vp kaka hussen
At 2:17pm on August 16, 2011, nancy george said…
thanx kaka ucjali lets b frnds
At 3:49am on August 10, 2011, Precious Tuma said…
ameen inshallah kwa sote. Ramadhan maqbull
 
ADVERTISEMENT

TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
2 hours ago
Theddy Jacob liked GLOBAL's blog post SETH AFUNGUKIA PENZI LA LULU, KANUMBA
4 hours ago
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Kumbe ww Ilya Upo Iran? nilikuwa sijui mpaka nimesoma profile yako, nakuhurumia kwa kusema uongo…"
8 hours ago
asha liked GLOBAL's blog post Mapenzi ni fursa, iheshimu kwa maana haiji mara mbili
8 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Dada Saumu,@ kuhusu kupotea kaburi la mama yako,nakupa pole sana kwa hilo,na hilo limetokana na…"
9 hours ago
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
"hi jazihina vipi hali sorry nimechelewa kukujibu  "
10 hours ago
chiya left a comment for chiya
"hi vipi hali sorry nimechelewa kukujibu "
10 hours ago
kajerekani commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Gold digger

"hii ni kali ya mwaka"
11 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Ooh!! asante IL-YA kwa hiyo habari kweli waarabu sio watu wengi wao hawana utu kabisaa na watoto…"
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website