Global Publishers Ltd's Friends

 • Hashim Madega
 • Nobert Richard
 • Mary Stephen Makonda
 • Johnson
 • damnan
 • aisha juma selungwi
 • GLOBAL

Global Publishers Ltd's Discussions

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started this discussion. Last reply by Kasharu Martin on Tuesday. 2 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

Gifts Received

Gift

Global Publishers Ltd has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Global Publishers Ltd's Page

Latest Activity

Ben commented on Global Publishers Ltd's blog post VITUO VYA TIKETI MWANZA: FAMILIA KITCHEN PARTY GALA!
"Wapeni somo, Tena hao wasanii wa filamu nafikiri hilo somo litawafaa sana!!"
10 hours ago
Global Publishers Ltd's blog post was featured
11 hours ago
Ben liked Global Publishers Ltd's blog post VITUO VYA TIKETI MWANZA: FAMILIA KITCHEN PARTY GALA!
11 hours ago
Global Publishers Ltd posted a blog post
Wednesday
Kasharu Martin replied to Global Publishers Ltd's discussion KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?
"Naomba nijibu "serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba mpya" - ni serikali moja tu. Zanzibar walipewa upendeleo wa kuwa na serikali yao, lakini sasa upendeleo huo inabidi ufikie kikomo, na tuungane kuwa nchi moja inayotawaliwa na…"
Tuesday
Global Publishers Ltd shared GLOBAL's blog post on Facebook
Apr 12
Seif Nyamangaro liked Global Publishers Ltd's discussion KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?
Apr 8
Global Publishers Ltd's blog post was featured
Apr 7
Global Publishers Ltd posted blog posts
Apr 7
Amon Mfinanga replied to Global Publishers Ltd's discussion KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?
"Mpaka sasa tuna nchi mbili na serikali mbili zanzibar tayari imeshakuwa nchi kinacho takiwa kwa maoni yangu tuwe na serikali tatu katika nchi moja tu sio serikali tatu nchi mbili au serikali mbili nchi mbili kama zanzibar wataridhia nionavyo mimi…"
Apr 4
hope commented on Global Publishers Ltd's blog post MAANDALIZI YA MWISHO YA RADIO 93.7 MF
"sasa sijui hata tutasikiliza radio gani make zimejaa mjini kama njugu"
Apr 2
FURAHA TAUSI commented on Global Publishers Ltd's blog post MAANDALIZI YA MWISHO YA RADIO 93.7 MF
"sasa hii itaitwa radio gani?"
Apr 2
Matilanga Lukingita commented on Global Publishers Ltd's blog post MAANDALIZI YA MWISHO YA RADIO 93.7 MF
"Hizi radio na vituo vya TV sasa vimekuwa utitiri hata unashindwa uegemee wapi!!!"
Apr 2
Global Publishers Ltd's blog post was featured

MAANDALIZI YA MWISHO YA RADIO 93.7 MF

Sound Engineer mzungu akitoa maelekezo kwa ma engineer wazawa.  Vifaa vya kisasa ndani ya studio za Radio 93.7 FM…See More
Apr 1
Global Publishers Ltd posted a blog post

MAANDALIZI YA MWISHO YA RADIO 93.7 MF

Sound Engineer mzungu akitoa maelekezo kwa ma engineer wazawa.  Vifaa vya kisasa ndani ya studio za Radio 93.7 FM…See More
Apr 1
Global Publishers Ltd shared GLOBAL's blog post on Facebook
Apr 1

Profile Information

Name
GLOBAL
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
ALL THE GLOBAL PUBLISHERS NEWSPAPERS....
How did you know about Global Publishers
Newspaper

Global Publishers Ltd's Photos

Loading…
 • Add Photos
 • View All

Global Publishers Ltd's Videos

 • Add Videos
 • View All

Global Publishers Ltd's News

PEACHES GELDOF DIES RIP Dead at 25

Posted on April 7, 2014 at 10:27pm 0 Comments

PEACHES GELDOF DIES RIP Dead at 25

Posted on April 7, 2014 at 10:27pm 0 Comments

MAANDALIZI YA MWISHO YA RADIO 93.7 MF

Posted on April 1, 2014 at 11:41pm 3 Comments

Sound Engineer mzungu akitoa maelekezo kwa ma engineer wazawa.…

Comment Wall (12 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 5:38pm on May 18, 2013, Kelly Burdick said…
Way cool! Some extremely valid points! I appreciate you writing this article plus the rest of the site is also really good.
At 5:10pm on May 5, 2013, adewa wahiid said…
mzee wa busara
At 2:18pm on March 20, 2013, shabani 26 said…

MBONA LEO NASHINDWA INGIA CHART ROOM

At 11:00pm on September 11, 2011, godwin mboyi said…
wahaya ni kawaida yao kujiona kuwa kuongea kiswahili ni kama bahati baya kwao,kwahiyo hatuwashangai watu hawa
At 11:28am on August 10, 2011, miraji rashid said…
kwa kweli tanzania imeuzwa ona mzee alivyo shika tama kwa hili inauma sana by miraji mpwapwa ttc
At 5:19pm on March 25, 2011, Skinner Single said…
If you can stop sending mail to my address please
At 5:18pm on March 25, 2011, Skinner Single said…
At 9:37pm on February 18, 2011, kaka kapagi said…
mmmhhh Eti AJALI.. Nakubali NI AJALI LAKINI IKUMBUKWE ZIPO ZA KUJITAKIA NA ZA bahati mbaya... Kwa hili la mara ya tatu mfululizo si la Bahati Mbaya na hii inadhihirisha kwamba ikitokea vita "tumekwisha" kwa uzembe huu ?? Si TUTAJILIPUA WENYEWE TUKIZANI TUNAMPIGA ADUI na tutasingizia AJALI????
At 8:32pm on February 17, 2011, kaka kapagi said…

TANZANIA TANZANIA ni nchi ya Kusadika na Kufikirika ... Hakuna serikali du niani isiyojali uhai wa  kama Tz.. Kwa hili la GONGO LA MBOTO HUSSEIN MWIYI HANA CHAKE WIZARA YA ULINZI -------AJIUZULU.

USHAURI WANGU ZAIDI NI Kambi hizo zisogezwe karibu na Ikulu tuone kama ajali kama zitatokea tena kama wasemavyo...

At 8:03am on February 7, 2011, Beachman said…
ok   sio mbaya,iko poa.
 
 
 

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by Kasharu Martin on Tuesday. 2 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Egbert Chogo Feb 10. 5 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Kasharu Martin on Tuesday. 7 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by Mohammed Nasser Abdullah Mar 19. 6 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Joyce Moses Oct 1, 2013. 4 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa Jun 20, 2013. 0 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service