Fadhili Hezekiah
  • Male
  • DSM
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook
Share

Fadhili Hezekiah's Friends

  • Sammie mckensie mwangi
  • Leyla khamis
  • caren d ibrahim
  • king jaja

Fadhili Hezekiah's Discussions

Viongozi Tanzania ni WANASIASA ua WAPIGAPOROJO?

Started this discussion. Last reply by william e.b.nkondola Dec 8, 2012. 39 Replies

Tanzania hakuna wanasiasa,wote njaa tu na ulevi wa sifa ndo vinawasumbua! mwanasiasa ni mtu wa kuona mbali,sasa wenzangu na mimi wanataka kuingia madarakani au wapo madarakani kwa visera vyao vya…

"ARE WE OUT OF OUR OPTIONS" ( a must read through)

Started this discussion. Last reply by Sarah G. Mwaipopo Oct 28, 2010. 5 Replies

ARE WE OUT OF OUR OPTIONSComrades, Fellow Tanzanians, Men and Women, Young and Old, Leaders and Common citizens, It is with great pleasure that I take this opportunity to share with you my opinion on…

If you become the president of your country then what would be the first change you would like to bring ?

Started this discussion. Last reply by TɹAVELLER Dec 22, 2010. 1 Reply

One first thing I would do is to reduce unemployment burden that is killing many Tanzanians, How! Cut down unnecessary government expenditures and redirect them to agriculture development by…

Tanzania,nani wa kutuletea maendeleo? Je Ni hawa viongozi wetu au watazaliwa wengine?

Started this discussion. Last reply by joshua job May 7, 2010. 1 Reply

Nimekuwa nikifuatilia mambo mengi ya kisiasa,hasa siasa za hapa kwetu Tanzania mpaka sasa napatwa na wasiwasi kama kweli kuna kiongozi mwenye nia ya kututoa hapa tulipo na kutupeleka huko katika…

Tags: wangu!, Mtazamo

Gifts Received (1)

 

Fadhili Hezekiah's Page

Profile Information

Name
Fadhili
How did you know about Global Publishers
Other websites

Fadhili Hezekiah's News

So we are not out of options! Its just a matter of Decission!

Posted on November 30, 2010 at 8:10pm 2 Comments

Dear My countrymen and countrywomen,brothers and sisters, I salute you!

Few months back I did post a question asking if we were realy out of our options! And this was because I,from my own point of view, could see things going recklessly as far as country's politics and developmental projects were concerned!

I was worried that there seemed to be a group of few Tanzanians who had thought that the country is their own property,they can do anything at any given…

Mtazamo tu!

Posted on November 30, 2010 at 7:18pm 0 Comments

Nadhani ni mtazamo mzuri kwa Chama chochote cha siasa kuwaelimisha au kuwajuvya wananchi kuhusiana na maswala ya katiba na haki zao! Sidhani kama kuna kosa katika kuwaelimisha watu mapungufu ya katiba yao na kuwaomba ridhaa yao katika kuiboresha! na hilo ndilo nataka kuamini kuwa Chadema wanalenga na si vinginevyo! Tangu katiba imeundwa na baadhi ya marekebisho madogomadogo,dunia imesha tembea sana na hivyo si ajabu mtu kuona kwamba kuna baadhi ya mambo yapo katika katiba ambayo hayakidhi…

Comment Wall (8 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 5:49pm on December 27, 2011, Mawazo Katota said…

Happy Birthday Fadhili Hezekiah and Prosperous 2012

At 3:34pm on December 27, 2011, julius manning said…

happy birthday and happy new year

At 9:42am on December 27, 2011, ANDERSON SOGOLE said…
Happy birth day to you
Happy new year
At 11:13am on June 25, 2011, jemadari mimi said…
SIFA KUBWA YA KIONGOZI WA KWELI  NI KUJUA MATATIZO YA RAIA ZAKE NA KUKAA NAO PMJ KUJADILI NA KUTAFUTA SULUHU YA MATATI YAO,LKN KQA VIONGOZI WETU WA SASA NI WAPIGA DOMO NA WAKO KIMASLAHI ZAIDI
At 10:54am on March 29, 2011, Sammie mckensie mwangi said…
First and foremost thanx 4 the add! Apart from that,whether they like it or not u r hot! Ur just like a candle burning itself so as to produce light for others, meaning you are takin risks for the sake of enlighting our fellow Tanzanianians! Wow, big up!
Anyway i have to make one thing clear to you and in other way il try to answear your question! My dear stop that pessimistic ideas of askin wether the americans culd let us be! Honestly they have nothing to do with us! Do u know that these colonizers were part and parcel of our development? Dont just look at the negative things they did to us but also try to fantasize the positive things and u will realize their positivity towards our development in general i.e polically,socially,economically etc is quite obvious compared to their negativity? Do u know a bird in hand is worth two in the bush? The whites had to do what they did so to make us who we are by now! So the best thing for now is to stop crying for spilt milk but use what we have been left with wisely! History is there to be rembered but the present is here to be lived and our future to be faced with no fear! The time is now and its for you and me! Americans are just acting as third part! The fight of two grasshoppers have some benefits to the crow! When we fight with our leaders we are showing interests to the third party! So its just a change we can believe in! Lets get prepared for we are the future leaders! Tciao!
At 12:05pm on June 25, 2010, caren d ibrahim said…
exctly my bro, ehee! tell me hw are things? and u knw that life is very difclt to perform bt we hav to depend on JESUS coz alwz HE protect us and HIS merc and grc is make us better bcz of HIS great so we hav to work hard witht giv up. have a nic time bro
At 3:09pm on June 24, 2010, caren d ibrahim said…
yes my bro am so plsr to recv ur request and i promc u to be a gud frnd to u.
life is like a novel, everday when u wake up u open a new page, respect GOD, coz HE is the only 1 who knows the number of the page remaining!
At 6:52pm on May 20, 2010, king jaja gave Fadhili Hezekiah a gift
 
 
 
UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 ZIMEBAKI:

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 7 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Sep 5. 8 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 8 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 3 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

Latest Activity

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }