FIFA WORLD CUP 2010's Friends

  • ibrahima
  • LAURA TURNER
  • Mheshimiwa MANGI HITMAN

FIFA WORLD CUP 2010's Discussions

Soka letu na mbio za sakafuni

Started Jun 16, 2010 0 Replies

Hakika soka ni mchezo wenye mashabiki wengi pengine kuliko mchezo wowote hapa duniani huku ukichagizwa na ujenzi wa viwanja bora vinavyotumika katika mchezo huu.Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na…

Tags: za, sakafuni, mbio, na, letu

Latest Activity

Real De' Dear commented on FIFA WORLD CUP 2010's photo
Thumbnail

HARUSI YA NORA

"u luk gud dia, nc pic."
Oct 26, 2011
babjoga anatol commented on FIFA WORLD CUP 2010's photo
Thumbnail

HARUSI YA NORA

"Najua baada ya muda tu tutasikia mmemwagana!!!"
Oct 26, 2011
lumi mwandelile commented on FIFA WORLD CUP 2010's photo
Thumbnail

HARUSI YA NORA

"shosti ulipendezaje?!!. endelea kutunza ndoa yako mama, magumu vumilia"
Oct 24, 2011
Gervas Daniel Nyalusi commented on FIFA WORLD CUP 2010's photo
Thumbnail

HARUSI YA NORA

"hapo ndo mwisho wa kufatana na vijana na mapapalazi"
Feb 14, 2011
rutta chriat left a comment for FIFA WORLD CUP 2010
"yani nilisikitika sana baada ya kutolewa. kwakweli nilipoteza hamu ya kuangali mpira ka"
Sep 15, 2010
rutta chriat left a comment for FIFA WORLD CUP 2010
"nililia sana ghana ilivyo tolewa"
Sep 15, 2010
riziki mashaka left a comment for FIFA WORLD CUP 2010
"ghana watabaki kuwa mashujaa wa africa despite walitolewa"
Sep 15, 2010
ahmed eddie commented on FIFA WORLD CUP 2010's photo
Thumbnail

FAINALI HISPANIA NA UHOLANZI

"huyu ni girl friend wa iker casias kipa wa spin na mchezaji wa real madrid"
Aug 25, 2010

FIFA NEWS

Loading… Loading feed

Profile Information

Name
FIFA WORLD CUP 2010
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
ALL OF THEM
How did you know about Global Publishers
Other websites

Gifts Received

Gift

FIFA WORLD CUP 2010 has not received any gifts yet

Give a Gift

 

FIFA WORLD CUP 2010's Page

FIFA WORLD CUP 2010's Photos

Loading…
  • Add Photos
  • View All

FIFA WORLD CUP 2010's News

SPAIN: WOLRD CUP 2010 CHAMPIONS!

Posted on July 12, 2010 at 12:55am 0 Comments

Spain wakishangilia ubingwa mara baada ya kukabidhiwa kombe lao na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma…

SPAIN: WOLRD CUP 2010 CHAMPIONS!

Posted on July 12, 2010 at 12:30am 2 Comments

Spain wakishangilia ubingwa mara baada ya kukabidhiwa kombe lao na Rais wa Fifa, Sepp Blatter akiwa na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma…

PWEZA NUKSI!!

Posted on July 12, 2010 at 12:15am 8 Comments

Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, utabiri wa pweza umetimia na bao ndiyo hilooooooo! Pweza Paul nuksi!!!

KILA MTU ANAANGALIA FINALI

Posted on July 11, 2010 at 11:56pm 1 Comment

Usiku wa fainali la kombe la dunia, karibu kila mtu mahali pake, anaangalia mpira huo, ambao inasemekana ndiyo mchezo unaoanaliwa na watu wengi kwenye tv kuliko kitu chochote duniani! Pichani ni watalii wa Kimarekani wakifuatilia mtanange huo kati ya Uholanzi na Hispania katika hoteli waliyofikia ya The Atriums iliyopo Sinza jijini Dar.…

HUYU NAYE!!!

Posted on July 11, 2010 at 11:44pm 3 Comments

Huyu naye alikuwa anajitafutia matatizo ya bure, eti kakurupuka huko na kukimbilia kombe ili kulikshika kabla hata mechi haijaanza...sasa ananyea debe na mpira wenyewe atausikia kwenye bomba tu....akina Kombo wako wengi…

HUU SIYO MPIRA, NI VURUGU MECHI!

Posted on July 11, 2010 at 11:30pm 2 Comments

Mashabiki wa mpira wa miguu duniani leo, walitarajia kuona mpira safi wa fainali ya mwisho ya kombe la dunia kati Hispania na Uholanzi, lakini badala yake wanashuhudia rafu na wachezaji kukosa magoli ya wazi. Hebu cheki hilo shuti la Nigel de Jong wa Uholanzi (kulia) akimpiga kiungo wa Hispania Xabi Alonso, huu ni mpira kweli? halafu refu naye hakumpa kadi nyekundu!!…

SIKU MARADONA ALIPOPATA KICHAPO CHA MBWA MWIZI!

Posted on July 4, 2010 at 1:14pm 3 Comments

Maradona akionekana kachooooka!!



wadau wa soka wanasema kuwa kauli ya Maradona kuwa timbu yake ingeshinda kombe la dunia angetembea uchi Argentina aliitoa kwa sababu alikuwa anajua ni kitu kisichowezekana timu yake kushinda...wewe unakusema kuauli hii..!!!?…

SIKU GHANA ILIPOLIA NA KUILIZA AFRIKA!

Posted on July 3, 2010 at 11:46am 4 Comments

.....ni wakati wa aibu na huzuni kwa Gyan baada ya kukosa peneati iliyobeba hatma ya Ghana na Afrika kwa ujumla!!

...Adiyiah: nitauweka wapi uso wangi mimi jamani..!

...mbaya…

BAO KALI LA MONTARI

Posted on July 2, 2010 at 11:10pm 1 Comment

Mchuano kati ya Ghana na Uruguayi ni mkali sana, lakini bao la kwanza la kuongoza Ghana limesifiwa na watazamaji wengi kwani mshambuliaji Muntari (kama anavyoonekana alivyojikunja) alipiga akiwa mbali sana na goli...lilkikuwa ni bao kali la Kombe la Dunia...hadi sasa Ghana 1-1 na Uruguayi...Mungu ibariki…

BRAZIL OUT!

Posted on July 2, 2010 at 10:59pm 3 Comments

Magwiji wa soka duaniani, Brazil, wameaga mashindano ya kombe la dunia 2010 baada ya kunyukwa na Netherlands bao 1-2...lakini aliyebebeshwa zigo lote la lawama katika mechi hii ni mchezaji wa Brazil Filipe, jezi namba 5, kwa kusababisha goli na kucheza…

Comment Wall (4 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 2:14pm on August 7, 2010, riziki mashaka said…
ghana watabaki kuwa mashujaa wa africa despite walitolewa
At 6:54pm on July 12, 2010, rutta chriat said…
nililia sana ghana ilivyo tolewa
At 6:53pm on July 12, 2010, rutta chriat said…
yani nilisikitika sana baada ya kutolewa. kwakweli nilipoteza hamu ya kuangali mpira ka
At 9:17am on June 14, 2010, Global Publishers said…
Updates zote za world cup hapa...
 
 
 


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
2 hours ago
Theddy Jacob liked GLOBAL's blog post SETH AFUNGUKIA PENZI LA LULU, KANUMBA
4 hours ago
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Kumbe ww Ilya Upo Iran? nilikuwa sijui mpaka nimesoma profile yako, nakuhurumia kwa kusema uongo…"
8 hours ago
asha liked GLOBAL's blog post Mapenzi ni fursa, iheshimu kwa maana haiji mara mbili
8 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Dada Saumu,@ kuhusu kupotea kaburi la mama yako,nakupa pole sana kwa hilo,na hilo limetokana na…"
9 hours ago
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
"hi jazihina vipi hali sorry nimechelewa kukujibu  "
10 hours ago
chiya left a comment for chiya
"hi vipi hali sorry nimechelewa kukujibu "
10 hours ago
kajerekani commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Gold digger

"hii ni kali ya mwaka"
11 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Ooh!! asante IL-YA kwa hiyo habari kweli waarabu sio watu wengi wao hawana utu kabisaa na watoto…"
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website