David Wagwene
  • Male
  • Dar es salaam,Tanzania
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook
Share

David Wagwene's Friends

  • kali shaban

David Wagwene's Groups

Gifts Received

Gift

David Wagwene has not received any gifts yet

Give a Gift

 

David Wagwene's Page

Latest Activity

favour left a comment for David Wagwene
"favouryousf@live.com Hello my dear how are you. i am Favour. this is very important please contact me to my email right now; (favouryousf@live.com) thanks god bless you am waiting to hear from you soonest"
Apr 8, 2013
David Wagwene commented on Chakachua's photo
Thumbnail

Hala

"mdada umezaliwa umeshushwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1?????????????????????????????????"
Nov 3, 2012
David Wagwene commented on NDAUKA the GREAT's photo
Thumbnail

MCHUNGAJI AKIMUOGESHA MKE WA MTU

"Huyo sio mchungaji ni nuksi..!Labda awe mchungaji wa ng'ombe na mbuzi sio binadamu..!"
Nov 3, 2012
David Wagwene commented on Chakachua's photo
Thumbnail

Maombi

"Kimama kinini ckupatii picha utakuwaje maana kila nikisoma comment zako nahic kucheka daaaah we mkali bana..!Inaelekea hadi madem wenyewe wanakuogopa maana wanajua mauaji laiv..!"
Nov 2, 2012
David Wagwene commented on NDAUKA the GREAT's photo
Thumbnail

mtindi

"mh sidiria yenyewe inashindwa kuhema..!"
Nov 2, 2012
David Wagwene commented on Ndegesha's photo
Thumbnail

448054981

"ebwanaeee hata uki2mia tochi mlango wa kuingilia unaweza usiuone kwa staili hii..! "
Nov 2, 2012
David Wagwene commented on Chakachua's photo
Thumbnail

Maombi

"hayo maombi balaa labda kama anaomba apate mtu wa kumchakachua kabla hajalala.."
Nov 2, 2012
David Wagwene commented on Chakachua's photo
Thumbnail

Stuli

"hadi simu inakaa haidondoki cmchezo "
Oct 29, 2012
David Wagwene commented on julius manning's photo
Thumbnail

NIMEKUBALI

"kweli kabisa iko poa.."
Oct 25, 2012
David Wagwene commented on julius manning's photo
Thumbnail

hawa wanasali au wako darasani

"ndio yaleyale mtu akiandika anagandamizia daftari mgongo wa mwenzie afu mbunge husika kazi kusinzia bungeni kitambi kikizidi kututumka.."
Oct 25, 2012
David Wagwene commented on Global Publishers Ltd's blog post HUDUMA NAFUU ZA MATIBABU NCHINI UTURUKI
"hapo mtz daraja la 100 anaona kama mkosi anawaza hospitali ya kwa babu au mwenge kijijini"
Oct 23, 2012
David Wagwene commented on Global Publishers Ltd's blog post NI KWELI TANZANIA IMEUNDWA KUTOKANA NA ZIMBABWE, PEMBA NA TANGANYIKA?
"mh hamna ukweli ktk hilo.."
Oct 23, 2012
David Wagwene commented on NDAUKA the GREAT's photo
Thumbnail

kazi ipo!!!

"Dizain kajibwa ka kizungu kanatazama porn movies za wanyama wenzie au mimi ndo cjaelewa?"
Oct 19, 2012
David Wagwene commented on NDAUKA the GREAT's photo
Thumbnail

karibu home

"Safi bana usipokipenda na kukithamini cha kwako hakuna atakayefanya hivyo kwa niaba yako naona AC ya nguvu hapo.."
Oct 19, 2012
David Wagwene left a comment for Khadija Ngayonga
"Nitajitahidi kutokuwa na papara nimwite nimuonyeshe meseji yake afu nitambana akiwa mgumu ndio itabidi niwe mkali na kuhakikisha natumia njia yoyote niujue ukweli.."
Oct 19, 2012
David Wagwene commented on Chakachua's photo
Thumbnail

Jitho

"Bengoson ulivyo na usongo na huyo demu ukimpata utamuovadozi hadi naniliu itafika kwenye kizazi we mbaya"
Oct 19, 2012

Profile Information

Name
David wagwene
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
Gazeti la Amani kwa sababu linatoa habari zinazoelimisha na kuburudisha jamii zaidi ya magazeti mengine

David Wagwene's Photos

Loading…
  • Add Photos
  • View All

Comment Wall (11 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 5:52pm on April 8, 2013, favour said…

favouryousf@live.com
Hello my dear how are you. i am Favour. this is very important
please contact me to my email right now; (favouryousf@live.com)
thanks god bless you am waiting to hear from you soonest

At 2:07pm on July 31, 2012, julius manning said…
happy birthday
At 2:07pm on July 31, 2012, julius manning said…
happy birthday
At 2:07pm on July 31, 2012, julius manning said…
happy birthday
At 2:07pm on July 31, 2012, julius manning said…
happy birthday
At 2:07pm on July 31, 2012, julius manning said…
happy birthday
At 2:07pm on July 31, 2012, julius manning said…
happy birthday
At 2:07pm on July 31, 2012, julius manning said…
happy birthday
At 2:07pm on July 31, 2012, julius manning said…
happy birthday
At 2:07pm on July 31, 2012, julius manning said…
happy birthday
 
 
 
UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 ZIMEBAKI:

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 7 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Sep 5. 8 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 8 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 3 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }