Athumani Rashid Pilipili
  • Male
  • Dar-es-salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook
Share Twitter

Athumani Rashid Pilipili's Friends

  • SHAFII JABILI
  • Leah Ben
  • Giriki
  • khadija
  • Bena Mushi
  • leyla
  • Aggie(Engaged)
  • Willy Thadeo

Athumani Rashid Pilipili's Discussions

Adhabu ya kifo iyondolewe!

Started Mar 31, 2011 0 Replies

Wadau mnasemaje kuhusu kuondolewa kwa Adhabu ya kifo!

JE MAREKANI INACHOKIFANYA NI SAWA KWA LIBYA?

Started Mar 26, 2011 0 Replies

Hivi ndugu zangu Marekani inachokifanya ni sawa kwa watu wa Libya?

Tuwasaidie wahanga wa Mbagala!

Started Feb 17, 2011 0 Replies

Watanzania tuwasaidie wahanga wa Gongo la mboto!

Serikali Jamani hali ya gongo la mboto msiifanyie masihara!

Started Feb 17, 2011 0 Replies

Serikali ya Tanzania tunawaomba jamani chonde chonde waangalieni watu wa gongo la mboto msije mkawaacha njia panda!Jamani wananchi tunazungunza nini juu ya hili maana si mara moja tumeona 2009 mbagal…

Gifts Received

Gift

Athumani Rashid Pilipili has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Athumani Rashid Pilipili's Page

Latest Activity

julius manning left a comment for Athumani Rashid Pilipili
"happy birthday"
Dec 19, 2011
ANDERSON SOGOLE left a comment for Athumani Rashid Pilipili
"happy birth day to you"
Dec 19, 2011
khadija and Athumani Rashid Pilipili are now friends
Sep 10, 2011
Athumani Rashid Pilipili commented on Nova Kambota's blog post Tafakuri Yangu Ya Leo: Mauaji Ya Mzee Karume Acha Sasa Tuhoji Yasiyohojika!
"Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah! kaka angalia tafakuri zako hii nchi co yako kuwa makiniwangu! kama karume walimuua wewe je?"
Apr 8, 2011
Eddy left a comment for Athumani Rashid Pilipili
"Huyo anayekuomba urafiki uwasiliand nae kwa email ni tapeli kama unataka habari zaidi nitafute facebook.chagua moja"
Apr 8, 2011
INNOCENT NSENA replied to Athumani Rashid Pilipili's discussion watanzania tunaka katiba mpya ya zamani tunaijua?
"ok, binafsi nimekuelewa ,pengine ungesaidia umma wa watanzania kutwambia ni mambo yapi kwa mawanzo yako yanatakiwa kufanyiwa marekibisho kaka."
Mar 26, 2011
Mawazo Maduhu. replied to Athumani Rashid Pilipili's discussion watanzania tunaka katiba mpya ya zamani tunaijua?
"Frederi-jaribu kuandika ujumbe mfupi na wenye kueleweka! Kama vp muombe shigongo akupe nafasi gazetini!"
Mar 26, 2011
Mawazo Maduhu. replied to Athumani Rashid Pilipili's discussion watanzania tunaka katiba mpya ya zamani tunaijua?
"Fredel-jaribu kuandika ujumbe mfupi na wenye kueleweka! Kama vp muombe shigongo akupe nafasi gazetini!"
Mar 26, 2011
Mawazo Maduhu. replied to Athumani Rashid Pilipili's discussion watanzania tunaka katiba mpya ya zamani tunaijua?
"Me nafikili watanzania wanaijua vzr katiba iliyopo! Na si kweli kwamba wanataka katiba mpya! La hasha watanzania tunataka katiba irekebishwe! Maana hata hii iliyopo mambo mengi bado yanalipa,ila yapo pia yaliyo mengi yamepitwa na wakati!"
Mar 26, 2011
INNOCENT NSENA replied to Athumani Rashid Pilipili's discussion watanzania tunaka katiba mpya ya zamani tunaijua?
"Kaka benny ,hivi huogopi kuomba kitu usicho kijua !ati kwa sababu tu unahitaji ,hivi unakumbuka mikatba waliyo ifunga babu zetu bila kujua kumbe wanauza ardhi yao kwa Wazungu ,hivi kweli watanzania wa leo tunahitaji kurudi huko ,Katiba ni mkataba…"
Mar 25, 2011
INNOCENT NSENA replied to Athumani Rashid Pilipili's discussion watanzania tunaka katiba mpya ya zamani tunaijua?
"Nadhani hamjapata nafasi nzuri ya kutafakari ni nini Mr pilipili ana maanisha na kama basi munahitaji tuwe na mjadala mpana kaka Will onyesha ni vifungu vipi ndani ya katiba vinaonyesha na kuthibitisha kwamba katiba yetu ni zao la wakoloni na…"
Mar 25, 2011
INNOCENT NSENA replied to Athumani Rashid Pilipili's discussion watanzania tunaka katiba mpya ya zamani tunaijua?
"dah nawala si woga wa kufikiri hata kidogo hoja ya msingi ni lazima wewe unae taka ueleze kipi unataka ,make kuna tofauti kubwa kati ya katiba mpya na marekebisho ya katiba , lakini pia hoja si kuta kipya ama mabadiriko hoja eleza kwa nini unadhani…"
Mar 25, 2011
William Jotham replied to Athumani Rashid Pilipili's discussion watanzania tunaka katiba mpya ya zamani tunaijua?
"Mr.Pilipili anataka tukae na kusubiri mpaka lini ndo tuelewe katiba iliyopo??? Haoni ktk miaka 50 ya uhuru bado watu hawajafahamu katiba iliyopo. Nakuunga mkono Bw.Benny,tunataka katiba yetu wananchi wala si hii iliyopo maana hii ni zao la…"
Mar 25, 2011
benny tungaraza replied to Athumani Rashid Pilipili's discussion watanzania tunaka katiba mpya ya zamani tunaijua?
"hata kama hatuijui twataka ile itakayotuongoza tukajua ni zao la jamii yetu..twataka katiba MPYA>"
Mar 25, 2011
brian julius maka replied to Athumani Rashid Pilipili's discussion watanzania tunaka katiba mpya ya zamani tunaijua?
"Hey!!! kaka usiwe muoga wa kufikiria kuhusu Life!! Wewe nikikuuliza nani kati yako na serekali anatakiwakukuonyesha katiba ya hawali?? so watanzania hatuna hofu ya kujua an kutaka katiba mpya!! Lets goo on kaka!!"
Mar 24, 2011
INNOCENT NSENA replied to Athumani Rashid Pilipili's discussion watanzania tunaka katiba mpya ya zamani tunaijua?
"yaa nadhani uko sahihi kwa kiwango fulani .lakini mimi ambacho sijaelewa ni kwamba watu wanadai katiba mpya ama marekebisho ya katiba ?"
Mar 22, 2011

Profile Information

Name
ATU
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
Ijumaa and uwazi because of that news
How did you know about Global Publishers
Newspaper

Athumani Rashid Pilipili's Photos

Loading…
  • Add Photos
  • View All

Comment Wall (8 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 12:47am on December 19, 2011, ANDERSON SOGOLE said…
happy birth day to you
At 12:58am on April 8, 2011, Eddy said…
Huyo anayekuomba urafiki uwasiliand nae kwa email ni tapeli kama unataka habari zaidi nitafute facebook.chagua moja
At 1:48pm on February 27, 2011, jafare madeha deshony said…
ok my email its jmadeha@yahoo.com
At 5:27pm on February 20, 2011, Scholarships Forum said…
hey buddy, I saw ur comment on my board
you can just visit us at www/mallaba.org for scholarships updates.
thanks
At 1:44pm on February 15, 2011, Aggie(Engaged) said…
hi there!asante sana kwa comment and i am glad to hear that my friend.be blessed
At 10:36pm on February 6, 2011, Leah Ben said…

hey pilipili nashukuru kwa kunichagua kuwa rafiki naamini tutakuwa marafiki wazuri nami nimekukubali ila ningependa kufahamu maelezo yako kwa kifupi kama UMRI,ELIMU,KAZI,UNAPOISHI na mengineyo kama nyongeza mi ni mdada wa siku kidogo naishi DAR, nimejiajiri. wewe je???????

 

At 4:17pm on February 6, 2011, RAJAN HUSSEIN said…
Cjakuelewa ni vyema ukawa wazi.....
At 5:28am on February 6, 2011, Bena Mushi said…
Thanx much Athuman
 
 
 


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
2 hours ago
Theddy Jacob liked GLOBAL's blog post SETH AFUNGUKIA PENZI LA LULU, KANUMBA
4 hours ago
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Kumbe ww Ilya Upo Iran? nilikuwa sijui mpaka nimesoma profile yako, nakuhurumia kwa kusema uongo…"
8 hours ago
asha liked GLOBAL's blog post Mapenzi ni fursa, iheshimu kwa maana haiji mara mbili
8 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Dada Saumu,@ kuhusu kupotea kaburi la mama yako,nakupa pole sana kwa hilo,na hilo limetokana na…"
9 hours ago
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
"hi jazihina vipi hali sorry nimechelewa kukujibu  "
10 hours ago
chiya left a comment for chiya
"hi vipi hali sorry nimechelewa kukujibu "
10 hours ago
kajerekani commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Gold digger

"hii ni kali ya mwaka"
11 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Ooh!! asante IL-YA kwa hiyo habari kweli waarabu sio watu wengi wao hawana utu kabisaa na watoto…"
12 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website