Ali Amur Ali
  • Male
  • Sultanate Of Oman
  • Oman
Share on Facebook
Share Twitter
  • News Posts
  • Discussions
  • Groups
  • Photos (2)
  • Photo Albums
  • Videos (8)

Ali Amur Ali's Friends

  • Jimmy
  • Kakytee Ahmed Mpemba

Gifts Received

Gift

Ali Amur Ali has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Ali Amur Ali's Page

Latest Activity

suriakhan sudi liked Ali Amur Ali's video
May 3
Frank Fungamenza commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

GOLI LA MWAKA MPYA 2012

"Duu hiyo kali!!"
Apr 15
Jafar othman anwar commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

GOLI LA MWAKA MPYA 2012

"hilo kweli goli la mwaka  "
Mar 2
Jafar othman anwar liked Ali Amur Ali's video
Mar 2
abdullah Nassor commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

WANAUME TUJINYONGE.....!

"jamani wanaume wooooooote watakufa pabaki vipofu "
Jan 20
mohamedishekhanimohamedi commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

MAUWAJI YA FUKARA...!

"hapana niunyama mkubwa watanzania ni wajibu wetu kutii sheria bila ya kushurutishwa."
Jan 10
Jimmy left a comment for Ali Amur Ali
"Nakushukuru Ali. nawe poke mkono wa kheri pia. Mungu aendelee kutusaidia ili tujue lile litupasalo hatimeye tunufaike na uzima wake wa milele."
Jan 7
Jimmy and Ali Amur Ali are now friends
Jan 7
Ali Amur Ali left a comment for Jimmy
"jimmy nakupa mkono wa mwaka mpya 2012 mola akujaalie kila la kheri. tunahitaji sana mada kama hii ili tunufaike nazo."
Jan 6
Ali Amur Ali posted a status
"jimmy nakupa mkono wa mwaka mpya mola akujaalie kila la kheri. tunahitaji mada zako zenye manufaa ili tunufaina."
Jan 6
Jimmy left a comment for Ali Amur Ali
"Ali kwa kweli unanifurahisha sana. Umenikumbusha Ayubu. Unajua alipata mateso na akawa mvumilivu kweli lakini baadaye akaingiwa na mashaka akaanza kunung’unika. Basi Mungu akamwambia hivi: Ni nani huyu atiaye mashauri giza kwa maneno yasiyo na…"
Jan 4
Ali Amur Ali commented on Jimmy's blog post UKUU NA UWEZA WA MUNGU: GALAKSI
"Na ishara pia ya kuwepo Mwenyeezi Mungu na uwezo wake,ni huu USIKU ambao tunautoa ndani yake MCHANA, kama kuivua nguo inayo sitiri. Mara utaona watu wamo GIZANI lililo wazunguka kila upande. Na JUA katika njia yake maalumu, Mola amekwisha kadiria…"
Jan 4
Saumu Ali Omari commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

MAUWAJI YA FUKARA...!

"HIVI BINADAMU MNAHUKUMU WENZENU KIASI HIKI YAANI HUZUNI"
Dec 25, 2011
Mawazo Katota commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

dakika ya mwisho ya kanali Muammar Gaddaf

"Wazungu kwa ujumla wao ni majambazi, wezi, wanyang'anyi, mafundi wa kutengeneza vibaraka. Wanaweza kuwatumia vibaraka kufanya maovu na wakajificha nyuma yao wakiwa na matelevisheni ya propaganda BBC, CNN, CTN etc."
Dec 24, 2011
Mawazo Katota commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

MAUWAJI YA FUKARA...!

"Bro video hii inahuzunisha, inasikitisha, ina aibisha. Watanzania hivi tuna nini? Hivi tunaweza kudai kuwa tuna haki za binadamu kweli. Nina uhakika kosa la mtu aliyeuwawa halilingani na adhabu aliyopewa. Kweli kesho kwa mungu kuna mambo. Hawa…"
Dec 24, 2011
rehema mafutu commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

MAUWAJI YA FUKARA...!

"inahuzunisha sana.Mungu awasamehee"
Dec 24, 2011

Profile Information

Name
Ali Amur Ali
How did you know about Global Publishers
Other websites

Ali Amur Ali's Photos

Loading…
  • Add Photos
  • View All

Ali Amur Ali's Videos

  • Add Videos
  • View All

Comment Wall (2 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 10:15am on January 7, 2012, Jimmy said…

Nakushukuru Ali. nawe poke mkono wa kheri pia. Mungu aendelee kutusaidia ili tujue lile litupasalo hatimeye tunufaike na uzima wake wa milele.

At 1:49pm on January 4, 2012, Jimmy said…

Ali kwa kweli unanifurahisha sana. Umenikumbusha Ayubu. Unajua alipata mateso na akawa mvumilivu kweli lakini baadaye akaingiwa na mashaka akaanza kunung’unika. Basi Mungu akamwambia hivi:

Ni nani huyu atiaye mashauri giza kwa maneno yasiyo na maarifa. Basi jifunge viuno kama mwanamume, maana nitakuuliza neno nawe niambie. Ulikuwa wapi nilipoiweka misingi ya nchi? ... ni nani aliyeamurisha vipimo vyake, kama ukijua? .... Misingi yake ilikazwa juu ya kitu gani? ....Au ni nani aliyeifunga bahari kwa milango, ...Nikaiagiza amri yangu; nikaiwekea makomeo na milango, nikasema, utafika mpaka hapa, lakini hutapita, ....Umeyafahamu mapana ya dunia? Haya, sema ikiwa unajua hayo yote..... Je, waweza kuziongoza sayari kwa wakati wake? .... Je, unazijua amri zilizoamriwa mbingu? (Ayubu 38: 1-41; nimenukuu machachemachache).

Kwa hiyo ndugu yangu Ali, ni kweli Mungu ameviwekea vitu sheria navyo vinatii. Isipokuwa kimoja tu ambacho kimekuwa kikikataa kutii; nacho ni sisi wanadamu. Kwa hiyo, ni vema kila mmoja wetu amtafute Mungu kungali mapema.

Biblia inatuambia kuwa: Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo (isipokuwa jina la Yesu). (Matendo ya Mitume 4:12).

Mungu akubariki Ali.

 
 
 


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
2 hours ago
Theddy Jacob liked GLOBAL's blog post SETH AFUNGUKIA PENZI LA LULU, KANUMBA
4 hours ago
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Kumbe ww Ilya Upo Iran? nilikuwa sijui mpaka nimesoma profile yako, nakuhurumia kwa kusema uongo…"
8 hours ago
asha liked GLOBAL's blog post Mapenzi ni fursa, iheshimu kwa maana haiji mara mbili
8 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Dada Saumu,@ kuhusu kupotea kaburi la mama yako,nakupa pole sana kwa hilo,na hilo limetokana na…"
9 hours ago
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
"hi jazihina vipi hali sorry nimechelewa kukujibu  "
10 hours ago
chiya left a comment for chiya
"hi vipi hali sorry nimechelewa kukujibu "
10 hours ago
kajerekani commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Gold digger

"hii ni kali ya mwaka"
11 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Ooh!! asante IL-YA kwa hiyo habari kweli waarabu sio watu wengi wao hawana utu kabisaa na watoto…"
12 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website