DAR LIVE

Burudani na michezo mbalimbali ya watoto inayopatikana ndani ya ukumbi wa kisasa wa Dar Live, uliyoko Mbagala Zakhem ambao umezinduliwa Januari Mosi, 2012.

Views: 354

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by HAPPINESS MARCEL on January 2, 2012 at 8:28pm

MUWE MNA WASAIDIA NA WATOTO YATIMA NA WASIO JIWEZA

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by Joe reggan on Wednesday. 4 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by Joe reggan on Monday. 4 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by Joe reggan on Friday. 2 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 1 Reply

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 5 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 18 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 32 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Joe reggan on Monday. 91 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

TOP NEWS WEEK HII

Latest Activity

alwatn bwire is now a member of Global Publishers
2 minutes ago
Nithuhasan posted a status
2 minutes ago
GLOBAL's 2 blog posts were featured
6 minutes ago
Matilanga Lukingita commented on GLOBAL's blog post AMANDA ACHARUKIWA KISA NGOMA
"Mmmmmmm!!!"
6 minutes ago
Matilanga Lukingita commented on GLOBAL's blog post NAY WA MITEGO, SHAMSA MKE NA MUME!
"Acha project iendelee!!!!"
6 minutes ago
Febronia Shumbusho commented on GLOBAL's blog post UN ENDING LOVE - (PENZI LISILOISHA) - 2
"Hayaaaaaa"
6 minutes ago
Mxa123 commented on GLOBAL's blog post ZARI AONYWA VIATU VIREFU NA UJAUZITO
6 minutes ago
Ahady Kidehele commented on GLOBAL's blog post JINI ALINIGEUZA MWANAUME ILI NIMUOE - 21
"heeee kweli tumejifunza kitu.ukaidi si mzuri kwa wanaotushauli jambo jema ktk maishaaa"
6 minutes ago
GLOBAL posted blog posts
6 minutes ago
Ahady Kidehele commented on GLOBAL's blog post MWANAMKE ALIVYOMFANYA ZEZETA KAKA YANGU - 5
"lumi we si juzi tu ndo umeanza kusomahadithii tuulixe wakongwe wa kufuatia hadithi.hapo…"
6 minutes ago
Augustino Mapunda commented on GLOBAL's blog post JINI ALINIGEUZA MWANAUME ILI NIMUOE - 21
"Kiburi c maungwana...."
6 minutes ago
simba nylon commented on GLOBAL's blog post MBUZI AVISHWA KANGA, APELEKEWA MBONI MASIMBA
"Baba?"
6 minutes ago

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }