Pichani ni matukio ya ajali mbili zilizotokea leo katika mlima wa Fulwe eneo la Mikese mkoani Morogoro zikihusisha mabasi mawili. Ajali ya kwanza ilitokea majira ya saa moja na nusu asubuhi ambayo imelihusisha basi la Takwa lenye namba za usajili T 478 BBJ lililokuwa likitokea Burundi kueleka Dar es Salaam, wakati ya pili ikilihusisha basi la Moro Best lenye namba za usajili T 846 BCU lililopinduka eneo hilo hilo baada ya kukuta lori lenye namba za usajili T 593 AGA limeegeshwa mlimani bila tahadhari. Ajali zote mbili zimetokana na uzembe wa madereva amabapo wa lori aliegesha gari lake juu ya mlima bila kuweka alama yoyote wakati madereva wa mabasi walifika eneo hilo wakiwa katika mwendo kasi na kushindwa kuchukua tahadhari. Watu wapatao 43 wamejeruhiwa na hamna aliyefariki katika ajali hiyo.
Comment
Comment by HenryJrM on February 17, 2012 at 12:13pm ajali kwa watanzania ni ni tatizo, na hakuna anae jali. wengi tunasingizia madereva lakini sote ni wahusika wa ajali hizo.poleni ndugu zangu God is gud hakuna aliepoteza maisha
Comment by shaban Nassoro on February 12, 2012 at 3:49pm
Comment by john on February 12, 2012 at 3:10pm poleni sana wapendwa mungu mweza wa yote atawaponya haraka iwezekavyo, lakini jamani madereva wetu kuweni makini barabarani
Comment by kaka on February 6, 2012 at 8:00pm
ajali za kila siku
Comment by masoud al-harthy on January 8, 2012 at 8:08am Ajali zitazidi kufatana makosa 2 muhimu sana kitu cha kwanza barabara hazina nafasi ya kuegesha gali kama likiharibika hichi ni kitu ambacho kinasababisha ajali ni makosa makubwa kupaki gali barabarani ..
kitu cha pili uzembe wa madereva kuendesha gali kwa kasi bila kuangalia mbali zaid ili kuona hatari zilizoko mbele ni lazima dereva awe muangalifu zaid na macho yake yaangalie mbali zaid ili aone hatari zilizo mbele yake ili kuwa tayari kusimama kabla ya ajali.speed zina uwa .usitumie sim wakati unaendesha gali uatasababisha vifo vya watu wengi .sim yako sio muhim kuliko roho za watu .dereva weka akili yako barabarani usifikrie mambo mengine kwa usalama barabarani
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
chama baby |
| 5 |
Sili Silali |
| 6 |
IL-YA |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
mohd nasser |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Hellen Attarsingh Gupta |
Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!

You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers