GLOBAL's Albums (137)

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by Kasharu Martin on Tuesday. 2 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Egbert Chogo Feb 10. 5 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Kasharu Martin on Tuesday. 7 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by Mohammed Nasser Abdullah Mar 19. 6 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Joyce Moses Oct 1, 2013. 4 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa Jun 20, 2013. 0 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

Latest Activity

mnasa mohd liked GLOBAL's blog post JESHI LA POLISI LIMETANGAZA ZAWADI YA TSH.MILION 10 KWA WEWE MWENYE TAARIFA ZA MHUSIKA WA BOMU ARUSHA
28 minutes ago
Surya Subrata posted a status
46 minutes ago
Surya Subrata posted a status
""
46 minutes ago
mnasa mohd liked GLOBAL's blog post MKE ACHOMA NYUMBA KISA WIVU WA MAPENZI
49 minutes ago
Ndegesha commented on GLOBAL's blog post WEE KAKA, PUNGUZA MAJI UGALI UIVE
"loo balaa jamani"
1 hour ago
Ahady Kidehele commented on GLOBAL's blog post JINI ALIVYOLITENDA PENZI LANGU-23
"Haya na tuone sasa hyo mhusika mkuu ambae ndo jini alishiliki vp kwenye hii stori"
1 hour ago
florence masilila commented on GLOBAL's blog post SITASAHAU NILIVYOGEUZWA MWANAMKE -42
"kwenye mazingaobwe hofu itaisha."
1 hour ago
florence masilila commented on GLOBAL's blog post UCHAWI WA MAMA MKWE - 5
"unakiwa kuomba bila kukoma"
1 hour ago
Jodat King commented on GLOBAL's blog post UZINDUZI WA GLOBAL TV ONLINE WAFUNIKA
"Mhhh!!"
1 hour ago
jane jimna commented on GLOBAL's blog post BABA, MAMA WASWEKWA SEGEREA KWA KUMTUPA MTOTO
"cute baby wengine wanalala hata makaburini wakitafuta watoto hawana amani Mungu kakubariki na mtoto…"
1 hour ago
Ndegesha commented on GLOBAL's blog post BABY MADAHA: NITAOLEWA 2030
"kuolewa utaolewa ukirudisha Umri nyuma"
1 hour ago
jane jimna commented on GLOBAL's blog post MAMA ANASWA KWA KUMPA KAZI NZITO MTOTO
"kwani shule za serikali ada ni kama international school acha roho mbaya huyu mtoto atakuwa mtu…"
1 hour ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service