GLOBAL's Albums (137)

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by Amani mp on Saturday. 17 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by anilahsan Jul 19. 79 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by navarrohart Jun 8. 37 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by anilahsan Jun 26. 72 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Aicar Salewa May 23. 5 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by anilahsan Jul 12. 21 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

Latest Activity

Profile IconGlobal Publishers via Facebook
Thumbnail

MUME AMPIGA MKEWE AKISWALI ->>>bit.ly/1knVTve

Facebook7 minutes ago · Reply
Profile IconGlobal Publishers via Facebook
Thumbnail

NDOA YA LUCY KOMBA MIZENGWE ->>>bit.ly/1k8LWkN

Facebook9 minutes ago · Reply
Papillon commented on GLOBAL's blog post MUME AMPIGA MKEWE AKISWALI
"Kumbe kupiga mke inaruhusiwa? Na kumbe umpige wakati huna hasira. Maajabu ya mwaka!"
11 minutes ago
Revathi posted a status
12 minutes ago
Revathi posted a status
13 minutes ago
Fidelis Sanga commented on GLOBAL's blog post BAHATI BUKUKU APATA AJALI
"Mwenyezi Mungu amsaidie aweze kupona"
14 minutes ago
Rehema Mahfudh Ahmed commented on GLOBAL's blog post MH! MISSED CALL YA SHEMEJI-11
"Mwisho wa Ubaya ndiyo huo, hata kama mtu na mumewe wana migogoro, usdhani ukitembea na shsemeji…"
14 minutes ago
Rehema Mahfudh Ahmed commented on GLOBAL's blog post CHICHI WA MICHEPUKO-17
"Chichi  Michepuko Mibaya hujui utaishia wapi na  magonjwa unayatafuta mwenyewe. Rehema…"
14 minutes ago
Rehema Mahfudh Ahmed commented on GLOBAL's blog post THE END OF TORTURE-87
"Eric, Narudia tena Mafuru asituharibie Pozi. Rehema M. Ahmed"
14 minutes ago
Shaban Salim commented on GLOBAL's blog post THE END OF TORTURE-87
"Mpumbavu kweri mafuru"
14 minutes ago
Mrs. Mathilda Kayagambe commented on GLOBAL's blog post WEMA AANIKA UGOMVI WAKE NA MAMA’KE
"Hatua nzuri. Sasa mtulie na mfunge ndoa kuishi kinyumba basi tena. "
14 minutes ago
Shaban Salim commented on GLOBAL's blog post JINI ALIVYOLITENDA PENZI LANGU-37
"Kazi unayo shosti"
14 minutes ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service