SIKILIZA MIZIKI

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Berthaa Kobelo on March 20, 2014 at 12:23pm

Ditto yupo powa na songi lake..Tushukuru kwa yote

Comment by cathbert sakaya on February 22, 2014 at 4:55pm
sijui jinsi ya kusikiliza kwenye net
Comment by Jerry Jerry on January 5, 2014 at 2:43pm

Yeah , Ditto Keep up Nice Song

Comment by Jeremia Juma Mgawe on December 24, 2013 at 11:12am
asante Avance chiwoni.
inamaana miziki hiyo imelekodiwa au inatoka moja kwa moja? na je,inawezekana kuidanloawd?
na je,kama mm napenda sana kwaya je nitazipataje?
je,nyimbo za kumsifu bikira maria zipo?
au yapo mamimbo ya kulukaluka hayampi sifa mwenyezimungu.
Comment by evance chiwoni on November 25, 2013 at 11:14am

dar vitu nouma na vinatisha  dj choka. JELEMIA JUMA MGAWE lazima uwe na flash ya adobe ndo utasikiliza mziki online so hiyo simu haina uwezo

Comment by Jeremia Juma Mgawe on October 18, 2013 at 2:16pm
Mie jamani kusikiliza radio kupitia mtandao kwenye sim nashinda!
nisaidieni nyi mnafanyeje?
au kwenye cm haiwezekani?
nataku kusikiliza sadio maria tanzania.
Comment by lilian nelson kanyehele on September 9, 2013 at 3:22pm

daaaaah kitu kimetulia kweli

Comment by mayalilwa on March 8, 2013 at 1:52am
rekodi imetulia
Comment by victorine mukeya on March 7, 2013 at 9:55pm
wimbo mzuri kabisa.naupenda.nasubiri wimbo ungine
Comment by Juma Ponsiano on February 16, 2013 at 1:18pm

DJ CHOKA NA MIMI NINA WIMBO SIJAREKODI KAMA VIPI TUWASILIANE

Comment by Juma Ponsiano on January 22, 2013 at 11:03am

hapa ni kula freva tu

Comment by Jonas on November 23, 2012 at 9:04pm

INAPENDEZA VI2 VIMETULIA DJ CHOKA UNATISHA

Comment by Jerry Jerry on October 7, 2012 at 7:28am

music poa

Comment by Juma Ponsiano on September 22, 2012 at 9:28pm

OKO NAMBA NGAPI HUO WIMBO@KASSI

Comment by kassi B Nzano on June 27, 2012 at 1:43pm

nakubali kazi vijana wanawajibika

 

Comment by masudi majid ngwembele on June 2, 2012 at 11:44pm
MPO JUU ILE KINOMANOMA G.PUBRISHER MNATISHA DAAAHH
Comment by kevin ngonyani on April 29, 2012 at 12:52am

collective thought is productive but independent opinions are obstructive.

Comment by jamal s amor on April 19, 2012 at 4:36pm
Asalam alaikum WATANZANIA WENGANG? poleni na msba ulio tutkea. kwa kuondkea na kipnza cha wte. STEVEN. KANUMBA. Mola aiwke mahali pema PEPONI. amin
Comment by Boazstev on April 16, 2012 at 12:32pm

Serekali Mkowapi Wizara ya Uvuvi Mkuwapi? Maana hamjuwe kuwa Meli Mnayoifumbia Macho Huweza kuwa msaada mkubwa Kwa Taifa Letu La leo na hata baadae, Hivi hamjuwi heri kuziba Nyufa kuliko kujenga ukuta kwatatizola meli hiyo? Hamjuwi heri shari nusu kuliko shari kamili? chukuweni hatuwa kwa kidogo tulicho pewa na Mungu Kutusaidia tusikizarau mkapoteza Fedha nyingi kwa uzembe

Mliosababisha wizara hiyo ya Badari mwajuwa fika hatari huja kwakujitakia taazari kwa wizara kuchukuwa hatuwa kabla yatatizo kuwakubwa zaidi. Mwenye macho na Aone aambiwi tazama.

Comment by Boazstev on April 16, 2012 at 12:06pm

Wanaohusika katika ujenzi wa kaburi la Marehemu Steven kanumba wakarekebishe mara

maana hali shwari. Niwasifu waandishi wahabari zote hizi wanafanya vizuri sana.

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by kathy paramores on Wednesday. 19 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by anilahsan Jul 19. 79 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by navarrohart Jun 8. 37 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by anilahsan Jun 26. 72 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Aicar Salewa May 23. 5 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by anilahsan Jul 12. 21 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service