Top Videos this Month

ADVERTISEMENT...

Top Videos 

Rank
1 WAREMBO WATWANGANA

WAREMBO WATWANGANA

Added by GLOBAL on February 28, 2011

2 UMISHENI-Mwambie Yesu

UMISHENI-Mwambie Yesu

Added by FREDY SULEIMAN OKUKU on May 6, 2013

ADVERTISEMENT


Advertisement

 

Forum

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

Latest Activity

Preston Goebel posted a status
7 minutes ago
Preston Goebel posted a status
7 minutes ago
Preston Goebel posted a status
8 minutes ago
Ernesto Forrester posted a status
19 minutes ago
Rosa Stricklin posted a status
26 minutes ago
Jamey Close posted a status
46 minutes ago
Jamey Close posted a status
46 minutes ago
GLOBAL's 11 blog posts were featured
57 minutes ago
mayalilwa commented on GLOBAL's blog post LULU AIBUA JIPYA
"Na ALI KIBA je! Haya we anza kuwachnganya tena."
59 minutes ago
mvulaa mgalula commented on GLOBAL's blog post MCHUNGAJI ALITAKA PENZI BILA KINGA MWANDISHI WETU, MOSHI
"Duh!huyu ni mchungaji au ni fisi''alie vaa ngozi ya kondoo,shetani kwelikweli,unataka…"
59 minutes ago
mvulaa mgalula commented on GLOBAL's blog post INAUMA JAMANI
"Huyo jamaa ni wa kukata kichwa chake live,ni mnyama kupitiliza."
59 minutes ago
sabbo sabbo commented on GLOBAL's blog post MCHUNGAJI ALITAKA PENZI BILA KINGA MWANDISHI WETU, MOSHI
"Hapo juu mchungaji alipo, Angel ndo huyo ambaye sura ya uso imefichwa? maana kweli ni haki…"
59 minutes ago

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service