Information

RISASI

Toa maoni yako kuhusu gazeti letu la risasi

Members: 28
Latest Activity: Apr 20, 2013

Discussion Forum

Hongera Gazeti la Risasi

Started by Yohana Mjema Dec 5, 2010. 0 Replies

Hongera gazeti la Risasi pamoja na magazeti yote yanayotolewa wa Global Publishers Tanzania kwa kazi kubwa ya kurekebisha jamii. Wasanii wengi wa Tanzania wakumbuke kuwa wanabahati kwani sio rahisi…

Hongera

Started by Vonostus Thomas Apr 10, 2010. 0 Replies

Kwa ujumla gazeti hili liko bomba ile mbaya hakuna nakala ambayo huwa naikosa, na wakati nilipokuwa safari nilikuwa sikosi kuingia kwenye mtandao huu ili niweze kuona na kusoma. Asante sana GPL

Comment Wall

Comment

You need to be a member of RISASI to add comments!

Comment by Marlown Mwaisanila on April 5, 2012 at 2:08am
hilo kweli risasi maana inavyotumika!
Comment by Austincoll16 on November 8, 2011 at 9:14am
Ilo poa mazee, yaani juu zaidi.
Comment by Waziri87 on May 11, 2011 at 4:18pm
liko poa kinyama yan full kujiacha nalo kila ifkapo j5 & j.moc
Comment by Alice Nyar Manyalla on March 18, 2011 at 12:44pm
Risasi liko juu nalipenda sana.
Comment by Innocent Emmanuel on February 23, 2011 at 12:30am
Nalikubali ile mbayaaaa
Comment by Sebastian Salatiel Shemhilu on January 21, 2011 at 4:02pm
GAZETI HILI NI MAKINI MNO!!!!!TUNAPATA VITU UPDATED
Comment by Pamela Brown on December 14, 2010 at 1:36pm

risasi mpo juu nawapenda tupeni habari za kushiba

Comment by Magreth Ambrose Assey on April 12, 2010 at 11:30am
Jamani mbona Risasi ya jumamosi iliyopita haionekani?
Pls tuambieni tatizo ni nini?
 

Members (28)

 
 
 
UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 ZIMEBAKI:

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }