Information

IJUMAA WIKIENDA

Maoni yenu kuhusu gazeti letu la ijumaa wikienda

Members: 40
Latest Activity: Nov 29, 2013

Discussion Forum

KWANINI VIONGOZ WA AFRIKA HAWATAKI KUTOKA MADARAKANI KIPINDI MUDA WAO UKIISHA?.

Started by Sostenes Denis. Last reply by Sostenes Denis Mar 16, 2013. 3 Replies

NAOMBA MCHANGO WENU WA MAWAZO WASOMAJI WA MAGAZETI HAYA

Comment Wall

Comment

You need to be a member of IJUMAA WIKIENDA to add comments!

Comment by Tatu Kiondo on February 26, 2013 at 11:09am

ukiona hivy wana uchu wa nchi na bado awajalidhika na madaraka waliyoyapata hivyo bac wanataka kuendelea kuongoza na kujiongezea viu walivyokuwa wanavipata mara ya kwanza

Comment by Peter Alcado on December 13, 2011 at 5:54pm

Asante sana kwa kunipa nafasi nami niweze kutoa mchango wangu,kiukweli mimi ninavyo elewa ni kuwa viongozi hawa huwa wana uchu wa madaraka wanaona kuwa akitoka madarakani umaarufu wake hautakuwepo tena.

Comment by Austincoll16 on November 7, 2011 at 1:52pm
Mko poa mazee, ongeza bidii zaidi.
Comment by Waziri87 on May 11, 2011 at 4:15pm
lina muonekano mzur na mastore mazur that's na lisoma na bado ntaendelea kulisoma
Comment by MASINDE JUSTINE on March 26, 2011 at 9:58pm
nimefurahi kunipa nafasi ya kuwa mwanachama mpya wagazeti hili la wikienda swali ni kwamba naweza kusoma gazeti hili la wikienda kila wakati?asante sana.
Comment by MASINDE JUSTINE on March 26, 2011 at 9:43pm
hakika mimi huwa nalikubali gazeti hili la ijumaa wikienda
Comment by hamza salum on March 21, 2011 at 7:13pm
mpo juu sana!
Comment by Innocent Emmanuel on February 23, 2011 at 12:08am
Nilikua napenda mawazo yenu zaidi
Comment by Innocent Emmanuel on February 23, 2011 at 12:08am
Mimi ninaomba kuhuliza kuwa inawezekana kusoma gazet la ljumaa lote na nifanyeje kama inawezekana
Comment by Sebastian Salatiel Shemhilu on January 25, 2011 at 5:51pm
HILI NI GAZETI NDUGU NA IJUMAA,PIA LINA HABARIA MAKINI SANA,NDIO MAANA LIKAITTWA IJUMAA WIKIENDA MAANA JUMAMOSI NA J.PILI PIA NDIO SIKU ZA VITUKO
 

Members (40)

 
 
 

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service