Information

Championi

Toa maoni kuhusu gazeti letu la Championi

Members: 42
Latest Activity: Dec 10, 2014

Discussion Forum

MTAZAMO WA NJE

Started by TWAHA KIPONZA. Last reply by Jamal Aadamu Dec 23, 2011. 1 Reply

bira shaka ni gazeti ambalo hata mtazamo wake wa nje unavutia......yaani umekaa kimichezo unavutia msomaji kulinunua.

comments

Started by sosthenes tibaijuka Jan 26, 2011. 0 Replies

mbona hamuweki latest sport news? its quiet long time,,si wengine si wanasiasa

Comment Wall

Comment

You need to be a member of Championi to add comments!

Comment by evarist emmanuel kapanga on December 10, 2014 at 3:59pm

mimi ni member mpya wa champion, nikitarajia habari nzuri zakweli zitokanazo na ufuatiliaji wenye umakini kutoka kwenu.

Comment by Shukuru costantine on December 5, 2012 at 7:22am
Siku hizi mmekuwa mkiweka habari zisizo na ukweli mpaka tunakosa utamu wa habari zamichezo, badilikeni msitufanye tusomapo habari ktk gazeti la Champion tuisi tunadanganywa.
Comment by Austincoll16 on November 7, 2011 at 1:00pm
Mko poa, lakini uptodate ndo zinabamba zaidi, keep't on time.
Comment by Waziri87 on May 11, 2011 at 4:11pm
yapo magezeti mengi na mazuri ya michezo lkn kiukwel bado hawajalifikia champion.
Comment by Sosthenes Kihinga on April 21, 2011 at 2:44pm
Michezo imesababisha nilipende.
Comment by Sebastian Salatiel Shemhilu on January 25, 2011 at 5:28pm
mwanamichezo yeyote lazima apende gazeti hili
Comment by ALBERT ANTHONY on June 1, 2010 at 3:42pm
NDILO GAZETI NAMBA MOJA LA BURUDANI NA MICHEZO NCHINI
Comment by azizi mbungiro on April 16, 2010 at 11:09pm
hili ndilo gazeti bora zaidi la michezo nchini.
 

Members (42)

 
 
 
UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 ZIMEBAKI:

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }