WALICHOKIFANYA WAIMBAJI WA INJILI KATIKA TAMASHA LA STREET UNIVERSITY NI SAHIHI?

Yesu wetu apewe sifa ndugu zangu, jamani kunamatamasha ya ujasiliamali ambayo yanajulikana kama Street university ambayo huedeshwa na akina Erick Shigongo, matamasha haya yameleta sura mpya baada ya waimbaji wa Neno la Mungu kama: Christina Shusho, Bonny Mwaitege, Abass Hamis Kinzasa, Glorious Singers na Pastor Wambura. kuonekana wakitumbuiza katika moja ya matamasha hayo lililofanyika mjini Arusha 27 November 2011. watu walifurika na walifurahi kwa kile walichokiita ni Burudani kutoka kwa waimbaji hao, jamani waimbaji hii si halali, ninyi mmeitwa na Mungu ili mmwimbie Mungu, yeye Mungu hajawaita muwaimbie wajasiliamali wala kuimba kwa kuwaburudisha wanadamu! hii sio sahihi kabisa, tena mnakutanishwa jukwaa moja na waimbaji wa Duniani wenye kusifu zinaa! si vizuri nyinyi muimbe pamoja na waimbaji wa ki-dunia katika jukwaa moja mkisisitiza jambo flani kwa nia moja huku wenzenu wakiimba nyimbo za kusisitiza uasherati, au ndio mtaniambia "Mwanasimba atalisha pamoja na mwanakoo siku za mwisho?" Jamani hawa wajasiliamali dhamira yao sio kumtukuza Mungu ila ni kujipatia wateja katika programu zao, sasa wanawatumia nyinyi kama vivutio vya wateja wao.

Ndugu zangu katika Bwana, hebu tafakarini katika hili, mumejikwaa acheni kufanya hivyo.

Na Nyinyi Wajasiliamali acheni kuwatumia waimbaji wa Mungu katika kampeni zenu. Tena kama wewe Erick unamjua kabisa Mungu vizuri lakini Shetani unampa Nafasi akuvute ili uzidi sana katika kumchukiza mungu! acha mara moja. Tafuta njia mbadala ya kuvuta wateja lakini usitumie chochote kitokacho Madhabahuni kwa Bwana, kama unasikio na usikie Acha kabisa usirudie tena.

Bwana awasaidie katika jina la Yesu.
=======================================================================


Ndugu msomaji tunaomba mtazamo wako na uelewa wako kuhusu jambo hili, je wewe unasemaje katika hili, Ni sahihi? Tuandikie maoni yako katika katika E-mail ifuatayo:

mosesmayila@yahoo.com

Au toa maoni yako moja kwa moja kwenye mtandao: www.mosespk.wordpress.com

Views: 24

Reply to This


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
2 hours ago
Theddy Jacob liked GLOBAL's blog post SETH AFUNGUKIA PENZI LA LULU, KANUMBA
4 hours ago
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Kumbe ww Ilya Upo Iran? nilikuwa sijui mpaka nimesoma profile yako, nakuhurumia kwa kusema uongo…"
8 hours ago
asha liked GLOBAL's blog post Mapenzi ni fursa, iheshimu kwa maana haiji mara mbili
8 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Dada Saumu,@ kuhusu kupotea kaburi la mama yako,nakupa pole sana kwa hilo,na hilo limetokana na…"
9 hours ago
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
"hi jazihina vipi hali sorry nimechelewa kukujibu  "
10 hours ago
chiya left a comment for chiya
"hi vipi hali sorry nimechelewa kukujibu "
10 hours ago
kajerekani commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Gold digger

"hii ni kali ya mwaka"
11 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Ooh!! asante IL-YA kwa hiyo habari kweli waarabu sio watu wengi wao hawana utu kabisaa na watoto…"
12 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website