Permalink Reply by Billy Frank Irungu on March 23, 2013 at 4:26pm zantel
Naipenda Zantel Huduma Zao ni bora Customer Care yao haina mfano Tanzania.
Permalink Reply by Billy Frank Irungu on April 26, 2013 at 5:03pm Kaka, uliza huduma za ZANTEL Mwanza! hatuna hamu nayo tenaaaa
Permalink Reply by Empire on April 7, 2013 at 12:08pm
Permalink Reply by Hamimu Jumanne on April 9, 2013 at 9:20am
Permalink Reply by Radhia Rajabu on April 15, 2013 at 10:43am Kwa hii mitandao niijuyo hakuna hata mmoja wenye huduma nzuri yote vimeo tu, sijui kwa hiyo mingine ambayo sijawahi kuitumia kama SASATEL na BENSON
Permalink Reply by robert mshoki on April 25, 2013 at 9:36am voda com
Permalink Reply by Billy Frank Irungu on April 26, 2013 at 5:00pm Hakuna kero kama ZANTEL. Kama muongo watu wa Mwanza wanisaidie. Walitoa huduma bora kuvuta wateja, sasa hivi ni nadhani ndo mtindo wa kutufukuza!
Unaomba msaada customer care, sijui waliyopo wanakuwa kwenye ndoto!!!!! Mdada wale wana shida si bure! Mtu anakwambia eti huduma ya blackberry wamesitisha! Jamani iliwahi kutokea?
Sasa watu wengi wanapigiwa simu, zipo on lakini hazipatikani! Za nini sasa? Hizi lines zao zinatengenezwa na wanafunzi huko china? Ndo niliulizwa na mtu anayewasiliana na mimi! Sasa unanunua bundle za blackberry, unatumia dakika 20 na siku nzima itapita hujapata connection tena! Na ukiwauliza, wanakwambia RIM ndo wana shida! Mbona Tigo, Vodacom, ..... wako sawa? Au kuna RIM ya ZANTEL pekee? Ukiuliza solution unayopata ni uende ofisini wakacheck line yako au ununue bundle ya Internet ya kawaida! Sasa nini jipya tunapata kwao kama si usumbufu! Mbona hata hizo buku buku hazirudishwi?
ZANTEL tutarudi Voda si kitambo!!!!
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
hope |
| 6 |
Tatu Majaliwa |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Mishy chunga |
| 10 |
shabani abdallah nguluko |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE 3 hours ago. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
© 2013 Created by Global Publishers.



