Permalink Reply by Denis Luchagula on November 19, 2011 at 9:08am VODACOM
Permalink Reply by sanamu la michelin on November 19, 2011 at 4:55pm vodacom. kazi ni kwako.
Permalink Reply by JOHN STEPHEN on November 21, 2011 at 1:39pm airtel.
Permalink Reply by janet challo on November 21, 2011 at 2:41pm
Permalink Reply by HAPPINESS MARCEL MASSAWE on November 21, 2011 at 8:44pm KWANZA NATAKA KUJUWA HUO MTANDAO WA BENSON UMEINGIA LINI NA LINE ZAKE ZINAPATIKANA WAPI
Permalink Reply by HAPPINESS MARCEL MASSAWE on November 21, 2011 at 8:45pm HALAFU BAADA YA HAPO MTANDAO NINAO FURAHIA HUDUMA ZAKE NI, TIGO NA AIRTEL
Permalink Reply by HAPPINESS MARCEL MASSAWE on November 21, 2011 at 8:47pm VODACOM HUDUMA ZAO MBOVU , KWANZA KAMA UNATATIZO KWENYE MASILIANO UKIWAPIGIA SIMU HAO KASTAMA CARE WAO WANAKUJIBU KWA SASA HATUWZI KUONA TATIZO TUPIGIE BAADA YA MASAA 24, SASA HUU NI MTANDAO WA AINA GANI, HALAFU WANAMAJIBU MABOVU KWA WATEJA , UTADHANIA WAO PEKE YAO NDO WAPO HAPA TANZANIA
Permalink Reply by peter watoi on February 28, 2012 at 12:26pm ukweli hata mimi nasaport majibu ya customer care wa vodacom sio mazuri siwezi kusema kama ni wote lakini mmmh nafikiri baadhi yao hawajasomea kazi zao labda
Permalink Reply by Muscat-Omani on November 22, 2011 at 1:52pm
Permalink Reply by EMMANUEL on November 27, 2011 at 12:05pm mitandao yote MIBOVU!!! wanasema ni shilingi moja kwa sekunde lakini sijui saa zao zinahesabu vipi hizo sekunde!!! kama unabisha we set stop watch yako kisha anza kuhesabu muda uliotumia kuongea, KISHA PIGA HESABU YA SEKUNDE ULIZO TUMIA halafu piga hesabu ya shilingi 1 kwa sekunde 1 uone tunavyoibiwa!!!
mbaya zaidi jiulize ni WATANZANIA WANGAPI wana simu za mkononi na wanaingiza TSH NGAPI kwa kila sekunde wanazoibwa na mitandao!!
wanatangaza ZAWADI kumbe TUNAZICHANGIA wenyewe kadri TUNAVYOSHIRIKI!!!!
AMKA MTANZANIA WIZI MTUPU!!!!!!!!!!!!
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
chama baby |
| 5 |
Sili Silali |
| 6 |
IL-YA |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
mohd nasser |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Hellen Attarsingh Gupta |
Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
