kiukweli mi siwalaumu sana hata hivyo wanajitahidi sana wasanii wetu kinachotakiwa ni kuwapa moyo. nyongeza yangu katika mada hii ni hii: naomba watanzania tukipende na kukitukuza kiswahili chetu tusishoboke sana na lugha za watu, nawapa big up sana wasanii ambao huwa wanapenda kuongea kilugha cha kwao katika muvi zetu hongereni sana. kuongea kiingereza haimaanishi kuwa umeelimika sana, je hamjui kuwa hata kiswahili ni moja ya lugha za kimataifa? sasa kwa nini tuendelee kupenda lugha moja tu na kuitukuza? tunarudi utumwani bila pingu wala kengere. tupende na kuenzi vilivyo vyetu. hata kama mombo haipandi gonga tu swahili hutachekwa atayekucheka anatakiwa tiba tena ya muda mrefu.

  Tatizo bado tunasumbuliwa na ka-ulimbukeni, mi nawashauri wasanii waweke hizo tafsiri kwa kiswahili. jamani hatuoni wenzetu wachina na wahindi. fulu kikwao na picha zao kila kukicha mnazinunua je! mnaelewa na kichina? kihindi je? nazifagilia sana jamii hizi mbili za hawa wenzetu na wengine waenzio vyao. lakini sisi mh. sijui ni sifa au, utakuta kionngozi anatuhutubia sisi walima pilipili ambao lugha hiyo hatukujaaliwa lakini anamwagika kidhungu sasa ...............  jamani

   Nina hasira ila nimechoka kuongea

Views: 17

Reply to This


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
2 hours ago
Theddy Jacob liked GLOBAL's blog post SETH AFUNGUKIA PENZI LA LULU, KANUMBA
4 hours ago
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Kumbe ww Ilya Upo Iran? nilikuwa sijui mpaka nimesoma profile yako, nakuhurumia kwa kusema uongo…"
8 hours ago
asha liked GLOBAL's blog post Mapenzi ni fursa, iheshimu kwa maana haiji mara mbili
8 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Dada Saumu,@ kuhusu kupotea kaburi la mama yako,nakupa pole sana kwa hilo,na hilo limetokana na…"
9 hours ago
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
"hi jazihina vipi hali sorry nimechelewa kukujibu  "
10 hours ago
chiya left a comment for chiya
"hi vipi hali sorry nimechelewa kukujibu "
10 hours ago
kajerekani commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Gold digger

"hii ni kali ya mwaka"
11 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Ooh!! asante IL-YA kwa hiyo habari kweli waarabu sio watu wengi wao hawana utu kabisaa na watoto…"
12 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website