hivi mnaonaje wadau kuh matokeo ya form 4?je ni nani wa kulaumiwa kati ya wizara necta au wanafunzi?

Views: 3127

Reply to This

Replies to This Discussion

tatizo awafundishi vizuri na wanachofundishwa mashuleni uwaga  ni tofauti na hiyo mitihani inavyotungwa...bad curriculum inachangia pia,uwafuati viwango na uelewaji wa  wanafunzi..hii ni aibu kubwa sababu inatakiwa watu wafeli ni wale watoto wasiendaga madarasani,lakini watu wanaenfda mashule  na wazazi wanalipa ada pia..afu wanafunzi wanafeli namna hii lazima kuna udwanzi wa kiaina na ufundishaji hapa...au ina maana wanafunzi wote ni mambumbu .....

Kama ilivyo kawaida elimu ya secondari ni elimu ya juu, ni lazima kuwe na msingi mzuri kwa wote wanaochaguliwa kujiunga na elimu hiyo, pia kuweko na mitihani ya kupima na kuwavusha wateuliwa kutoka hatua moja kwenda nyingine.

Kinachofanyika sasa hivi ni kumba kumba, ili mradi shule za kata zijae watu, amefaulu hakufaulu twende, mitihani yote ya kupima wanafunzi imefutwa, na nilishawahi kumsikia waziri wa elimu akitangaza kuwa sasa elimu ya msingi ya Tanzania ni Kidato cha nne (Pofessor Huyo!!!!!) uliyasikia wapi hayo? Wewe ungeburuzwa hivyo ungekuwa poffessor? Wamebakiza mtihani wa NECTA ambao ni kipimo cha mwisho, mnategemea nini? kama siyo 0++Wizara ya elimu jirekebisheni na kwa hilo wala msimtafute mchawi!

Hey frinds my name is faker people gived me that name in american her home if you know you like sex chat with me hooooooooooooooooola

Necta, kwan wanachofundish waalimu ni tofaut na yanayotoka kwenye mtihani wa mwisho.

mimi naona wanfunzi hatupo serious, kwasababu tunafundishwa na walimu walikopwa, lugha nayo inatuchanganya, wate tulaumiwe, serikali na wanafunzi.

 

yap,,,,kwa hali inavyoendelea vitu hivi viwili vinachangia kwa umoja,,,yaani wanafunzi na balaza la mitihani,,,,,kwa upande wa wanafunzi ni dhahiri kabisa kuwa hawapo sirious katika masomo yao kwani baadhi yao wengi wamekuwa wakijitumbukiza katika mambo ya anasa wakiwa bado ni wadogo mno,,hivyo kuwafanya kupoteza muda wao mwingi katika kufanya takataka na kusahau nini lengo lao. Pia poor policy za serikali nzao zinachangia sana kuzoletesha elimu ya Tanzania kutokana na usumbufu ambao wanaupata kutokana na uwingi wa wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi secondary mpaka vyuo, kwa mfano inahofu jinsi ya kuwasomesha wakati taifa lipo duni kuchumi, na ndo maana migomo haishi ncini kwetu,,,,,,kwa hiyo me nadhani kuwa wanafunzi waongeze bidii zaid katika masomo yao ili serikali ishindwe mahala pa kuwaonea.

Kwanza mtihani wamefanya necta walaumiwe wanafunze wenyewe

daaah..wadogo zetu nowdayz awasomi kabisa so mambo lazima yawe magumu kwao..bt wizara nao wajipange kuinua elimu yetu.

MIMI NAFIKIRI WIZARA YA ELIMU IKOMAE KATIKA KUHAKIKISHA INAONGEZA SHULE KADIRI IWEZAVYO NA HIYO ITASAIDIA SANA KUEPUSHA TATIZO LA USAFIRI KWA WANAFUNZI MAANA SHULE ZITAKUWA KARIBU.PIA KUHAKIKISHA INABADILI UFAULU WA WANAOPASWA KWENDA KUSOMEA UALIMU BADALA YA DIV 4.28 IWE KWA WALE WENYE KUANZIA DARAJA LA 1HADI LA3 HIYO ITAPELEKEA KUPATA WALIMU BORA NA SI BORA WALIMU.

NA HIYO IAMBATANE NA KUWAWEKEA WALIMU MAZINGIRA YA KUVUTIA KAMA KUWAONGEZEA MISHAHARA NA PENGINE KUWAJENGEA MAKAZI NA MABORESHO HAYO YAWE MARADUFU KWA WANAOENDA KUFANYA KAZI VIJIJINI.HII ITAPELEKEA WALIMU KUVUTIKA KWENYE HIYO FANI NA HIVYO TATIZO LA UPUNGUFU WA WALIMU LITABAKI HISTORIA.

RSS

ADVERTISEMENT


Advertisement

 

Forum

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service