Tags:
Permalink Reply by godshine fanuel on March 27, 2011 at 1:21pm
Permalink Reply by habiba abdallah bakari on June 28, 2011 at 11:14am
Permalink Reply by Excellent Motto on February 22, 2012 at 6:44pm taratibu mkuu
Permalink Reply by Jonathan Slaa on August 16, 2011 at 3:43pm
Permalink Reply by lewis juvenary ngirwa on July 2, 2012 at 3:10pm wewe ni mjinga ujuhi unachokisema
Permalink Reply by manka on November 4, 2011 at 11:44am KWA KWELI WAPINZANI MNATUCHANGANYA MKIPEWA NAFASI MNASHINDWA KUTIMIZA AHADI ZENU MNABAKIA KUJINUFAISHA NYINYI TU NA FAMILIA ZENU. BORA CHAMA TAWALA KIENDELEE NA KAZI MAANA WAO KAZI YAO NZURI ISIPOKUWA WATU BINAFSI TENA WACHACHE AMBAO TUNAWAMUDU ILA WAPINZANI WAPO KIMASLAHI ZAIDI HAMNA LOLOTE MSITUDANGANYE HAPA TUKAINGIA VITANI KAMA SOMALIA ACHA TUFURAHIE UHURU NA AMANI YETU HATA KAMA MASKINI. UWEZO WA CHAMA TAWALA KUIWEKA NCHI SALAMA KWA MUDA WOTE HUU WA MIAKA 50 SI KITU KIDIGO NYIE WAPINZANI, BORA MASKINI HURU KULIKO TAJIRI MTUMWAAAAA.
Permalink Reply by john samwel on March 12, 2012 at 9:36pm Hata ww ni muuaji!!!!! utamtukanaje kiongozi wako na bado anakuongoza? Wewe ni chadema acha ujinga unafki. kawadanganye wachaga!!!!!
Permalink Reply by Dr joseph kingo on July 5, 2012 at 10:41pm kuna usemi usemao INZI MKOROFI HUINGIA NA MAITI HADI KABURINI WAJINGA NDIYO WALIWAO. nafikiri hapa ni hoja ndizo zinazotakiwa lakini matusi na kejeli zina sababu gani hapa??!!!!!
Permalink Reply by JERRY on September 11, 2012 at 6:36pm HUYO NI CHANGU DOA TU,NI KAMA WALE WANAO JIUZA PALE OHIO
Permalink Reply by john bosco on October 4, 2012 at 6:13am INAONEKANA ALIEANDIKA HIVI NI MWANASIASA ANAEEGAMIA UPANDE FULANI! NA NDO MANA HAKUWEKA JINA!! NA MANENO YAKE NI UCHOCHEZI WA VITA!!!!
Permalink Reply by richardngeze on February 12, 2013 at 6:06pm Kikwete alikimbilia tu Ikulu bila kujua Ikulu anaenda kufanya nini,yafaa akaogopwa kama ukoma!
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
Tatu Majaliwa |
| 6 |
hope |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
tina babi |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
© 2013 Created by Global Publishers.




