hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Views: 3482

Reply to This

Replies to This Discussion

Hakuna alie sahihi baina ya wote hao mwananchi ndo ndo anatakiwa awe makini wakati wa kufanya maamuzi yake.. sisi wananchi watanzania tunashindwa kutumia busara kwenye kataka maswala ya busara, mwaka jana tuliamua kuwapeleka wawakilishi wetu bungeni mpaka wa darasa la saba na wamamziki sasa sisi watatutetea au watashibisha kwanza matumbo yao? Haya ndo maswali tulobaki nayo baada ya uchaguzi wa wabunge na raisi mwaka jana. Leo hii unasikia wizara zinachangisha hela kwa ajili ya kuhakikiaha kuwa budget inapitishwa wewe huwezi kushangaa hilo, hayo ni mambo kidogo sana tunayafahamu kuhusu serikali yetu huenda hata budget zengine zimepitishwa kwa zengwe hilo hilo, sasa ukija kuangalia kwa umakini swala la umeya arusha sio jambo geni kabisa si unakumbuaka wananchi walouwawa arusha na askari wakasema ni bahati mbaya? kesi zao ziko wapi hayo yote ni siasa ndugu yangu.....Hebu kaaa chini then angalia definition ya democracy from efferent  author halafu uangalie kinachotokea Tanzania kama tuna democrasia then utagundua hafu uangalie vile vile definition of independent hafu uoanishe na uhuru tunaouzungumzia watanzania uone kama tuna uhuru na uangalie amani tunayosema kua tunayo kama ipo utagundua kama haipo vile vile utagunndua

Kwa mtazamo wangu mimi kwasababu cjui tume iliyoongoza uchaguzi huo kwamba ilikuwa na nia gani hasa coz inavyoonekana wako kwa ajili ya interest za CCM maana huwezi badili eneo la uchaguzi na uache kuwafahamisha wagombea WOTE au kuwawahisishia wengine taarifa na wengine kuwacheleweshea maana kwa busara za kawaida kabisa kwa sababu tume ndo ilibadili eneo hilo pengine kwa makusudi wanayofahamu wao ilipaswa kumsubiri mgombea yeyote ambaye hajafika kwasababu wao ndio waliobadilisha eneo la uchaguzi INGEKUWA AMECHELEWA KWENYE ENEO LA MAKUBALIANO YA AWALI HAPO SAWA nakitendo cha jeshi la polisi kumnyima mgombea haki ya kuomba kura kama haki yake ya msingi kinaonyesha kuwa ishu hii ilipangwa kumyima mgombea wa chadema haki yake.......MIMI NAILAUMU MOJA KWA MOJA TUME HIYO YA UCHAGUZI WA UMEYA NA JESHI LA POLISI.

Nnashangaa sana hasa kwa wewe uliyeandika threat hii,

Kwani kwa akili yako ya kawaida kabisa achana na kisomo ulichopata unafikiri nani yuko sahihi! Au ulikuwa na mantiki gani ulivyoandika threat hii.

Jadilini vitu ambavyo haviko bayana ndo watu watachangia kwa kuumiza vichwa lakini c kwa swala la Arusha coz everybody knows who is the right winner in Arusha City.

Kidumu chama Cha demokrasia na Maendeleo CDM

Teh teh kuuliza sio ujinga ndugu yangu.

 

lakini kwani nikikuuliza wewe nani alikuwa mshindi utanijibu nani 'just jibu moja tu CCM or chadema' sitaki maelezo mengi!

CHADEMA
kama chadema alishinda kwanini diwani ni wa CCM????

chadema ni sahihi kabisa, ila ccm ndio king'ang'anizi!!

Chama wapo sahihi kwa masilahi ya wananchi wake tofaut ya ccm gamba limetawala na kusahau wayu wake wanateseka

teh teh lakini Lema amewakazia buti sana kama angekuwa mbunge mwingine lelemama natumai angekubali kushindwa, ...

havari yako!!

mi nafikiri chadema walikuwa sahihi zaid ingawa mchezo mchafu ulichezeka pale mpaka CCM wakashindwa

kwa kweli hawa CCM inabidi tufanye kila njia kuwaondosha kabisa hawana maana kabisa

Kusema ule ukweli. Ni nani mwenye uwezo mimi kwa upande wanhu. Ni. CCM
HONGERA. Tena sana. NDUGU YANGU. Anyika. Kwa maneno yko uliyo ya towa. Ni sawa kabisa. Kwani wte hao walikua wapi? Si katika CHAMA TAWALA? Kwani hao watakae kuja wataleta nini. Zaiddi ya UDINI TO. Kidumu chama cha WATANZANIA WTE. C C M. OYEEEEEEEEHHH

RSS

ADVERTISEMENT


Advertisement

 

Forum

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE 13 hours ago. 27 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service