hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Tags:
Permalink Reply by Aggrey on February 23, 2012 at 9:16am Kwa mtazamo wangu mimi kwasababu cjui tume iliyoongoza uchaguzi huo kwamba ilikuwa na nia gani hasa coz inavyoonekana wako kwa ajili ya interest za CCM maana huwezi badili eneo la uchaguzi na uache kuwafahamisha wagombea WOTE au kuwawahisishia wengine taarifa na wengine kuwacheleweshea maana kwa busara za kawaida kabisa kwa sababu tume ndo ilibadili eneo hilo pengine kwa makusudi wanayofahamu wao ilipaswa kumsubiri mgombea yeyote ambaye hajafika kwasababu wao ndio waliobadilisha eneo la uchaguzi INGEKUWA AMECHELEWA KWENYE ENEO LA MAKUBALIANO YA AWALI HAPO SAWA nakitendo cha jeshi la polisi kumnyima mgombea haki ya kuomba kura kama haki yake ya msingi kinaonyesha kuwa ishu hii ilipangwa kumyima mgombea wa chadema haki yake.......MIMI NAILAUMU MOJA KWA MOJA TUME HIYO YA UCHAGUZI WA UMEYA NA JESHI LA POLISI.
Permalink Reply by Nyika Laizer on October 11, 2011 at 3:24pm Nnashangaa sana hasa kwa wewe uliyeandika threat hii,
Kwani kwa akili yako ya kawaida kabisa achana na kisomo ulichopata unafikiri nani yuko sahihi! Au ulikuwa na mantiki gani ulivyoandika threat hii.
Jadilini vitu ambavyo haviko bayana ndo watu watachangia kwa kuumiza vichwa lakini c kwa swala la Arusha coz everybody knows who is the right winner in Arusha City.
Kidumu chama Cha demokrasia na Maendeleo CDM
Permalink Reply by Gysper on October 12, 2011 at 7:21am Teh teh kuuliza sio ujinga ndugu yangu.
lakini kwani nikikuuliza wewe nani alikuwa mshindi utanijibu nani 'just jibu moja tu CCM or chadema' sitaki maelezo mengi!
Permalink Reply by Nyika Laizer on October 12, 2011 at 10:08am
Permalink Reply by Gysper on October 15, 2011 at 7:06pm
Permalink Reply by Alfred uisso on November 23, 2011 at 5:36pm chadema ni sahihi kabisa, ila ccm ndio king'ang'anizi!!
Permalink Reply by Ally Jumanne on December 10, 2011 at 3:04pm Chama wapo sahihi kwa masilahi ya wananchi wake tofaut ya ccm gamba limetawala na kusahau wayu wake wanateseka
Permalink Reply by Gysper on December 13, 2011 at 9:07am teh teh lakini Lema amewakazia buti sana kama angekuwa mbunge mwingine lelemama natumai angekubali kushindwa, ...
Permalink Reply by hand samwel on February 19, 2012 at 1:01pm havari yako!!
mi nafikiri chadema walikuwa sahihi zaid ingawa mchezo mchafu ulichezeka pale mpaka CCM wakashindwa
kwa kweli hawa CCM inabidi tufanye kila njia kuwaondosha kabisa hawana maana kabisa
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
chama baby |
| 5 |
Sili Silali |
| 6 |
IL-YA |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
mohd nasser |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Hellen Attarsingh Gupta |
Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
