hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Views: 1723

Reply to This

Replies to This Discussion

Wote hao ni wababiashaji tu

wanachi.

Mi kwa mtazamo wangu naona kama chadema wako sahihi ila sasa CCM hawako tayari kuona jiji la kitalii linamilikiwa na upinzani@Gysper
Kwa jns nilivyofatilia, naona chadema wako sahihi.
chadema
CCM
Hii dhahabu yote tuliyonayo Buzwagi,North Mara,Barrick n.k. Kumbe BOT hatuna hata kiduchu

CHADEMA Wapo sahihi sana kuhusu hilo.

CHADEMA wapo sahihi ccm wana ulafi na madaraka

 

Baba
Naona nimesahau hebu nikumbushe
Hakuna alie sahihi baina ya wote hao mwananchi ndo ndo anatakiwa awe makini wakati wa kufanya maamuzi yake.. sisi wananchi watanzania tunashindwa kutumia busara kwenye kataka maswala ya busara, mwaka jana tuliamua kuwapeleka wawakilishi wetu bungeni mpaka wa darasa la saba na wamamziki sasa sisi watatutetea au watashibisha kwanza matumbo yao? Haya ndo maswali tulobaki nayo baada ya uchaguzi wa wabunge na raisi mwaka jana. Leo hii unasikia wizara zinachangisha hela kwa ajili ya kuhakikiaha kuwa budget inapitishwa wewe huwezi kushangaa hilo, hayo ni mambo kidogo sana tunayafahamu kuhusu serikali yetu huenda hata budget zengine zimepitishwa kwa zengwe hilo hilo, sasa ukija kuangalia kwa umakini swala la umeya arusha sio jambo geni kabisa si unakumbuaka wananchi walouwawa arusha na askari wakasema ni bahati mbaya? kesi zao ziko wapi hayo yote ni siasa ndugu yangu.....Hebu kaaa chini then angalia definition ya democracy from efferent  author halafu uangalie kinachotokea Tanzania kama tuna democrasia then utagundua hafu uangalie vile vile definition of independent hafu uoanishe na uhuru tunaouzungumzia watanzania uone kama tuna uhuru na uangalie amani tunayosema kua tunayo kama ipo utagundua kama haipo vile vile utagunndua

RSS


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
2 hours ago
Theddy Jacob liked GLOBAL's blog post SETH AFUNGUKIA PENZI LA LULU, KANUMBA
4 hours ago
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Kumbe ww Ilya Upo Iran? nilikuwa sijui mpaka nimesoma profile yako, nakuhurumia kwa kusema uongo…"
8 hours ago
asha liked GLOBAL's blog post Mapenzi ni fursa, iheshimu kwa maana haiji mara mbili
8 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Dada Saumu,@ kuhusu kupotea kaburi la mama yako,nakupa pole sana kwa hilo,na hilo limetokana na…"
9 hours ago
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
"hi jazihina vipi hali sorry nimechelewa kukujibu  "
10 hours ago
chiya left a comment for chiya
"hi vipi hali sorry nimechelewa kukujibu "
10 hours ago
kajerekani commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Gold digger

"hii ni kali ya mwaka"
11 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Ooh!! asante IL-YA kwa hiyo habari kweli waarabu sio watu wengi wao hawana utu kabisaa na watoto…"
12 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website