Tags:
Permalink Reply by Valentine Joachim Muhe on October 2, 2012 at 9:37pm Wanasiasa siyo watu wa kuchezea kwa kuwa na uongo mwingi. Taia kila wakati iko kwenye misaada bila kikomo, wakati rasilimali tuazoo za kutosha. Tazama misitu, madini na maziwa. Mustakabali wa taifa letu haupatikani kwa kuwachekelea wawekezaji bali kufanya kazi kwa kujituma.
Kikawaida matatizo kama Reli na barabara na mengine mengi hayaishi kwa kuzungumza majukwaani bali vitendo. Mara nyingi watumishi na viongoizi wa serikali ni wepesi sana kupitisha mipango lukuki na kujisahali kutekeleza.
Permalink Reply by julius manning on November 1, 2012 at 6:10pm umesema kweli dogo
Permalink Reply by richardngeze on February 12, 2013 at 6:07pm Hawa ni majambazi tu, viongozi hatuna!
Permalink Reply by Ramadhan mbwambo on February 28, 2013 at 7:20am | 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
LJH_3 |
| 4 |
hope |
| 5 |
julius manning |
| 6 |
mayalilwa |
| 7 |
Tatu Majaliwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Mishy chunga |
| 10 |
shabani abdallah nguluko |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mayalilwa Mar 8. 26 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
© 2013 Created by Global Publishers.



