Jamani watanzania wenzangu, katika suala zima la movie zetu za nyumbani subtitles za kingereza imekuwa tatizo sana kiukweli!!!!!! najiuliza inakuwaje movie imeandikwa majina kibao, utakuta producer, cjui editor, script writer, nk. ina maana wote hao wanakuwa mambumbumbu kiasi cha kutojua kama hii ngeli siyo yenyewe mpaka wanaachia mzigo uingie sokoni!!!!!!!!

NAJITOLEA KUSAIDIA KUTENGENEZA SUBTITLES ZA MOVIE YOYOTE ILI IWE YA MFANO HAPA BONGO. SIJISIFII, ILA KIUKWELI NINAO UJUZI NA UFAHAMU WA KUTOSHA KATIKA LUGHA HIZI MBILI YAANI KISWAHILI NA KIINGEREZA.

YEYOTE MWENYE MOVIE INAHITAJI SUBTITLES ANITAFUTE NTATENGENEZA MOJA BURE.

vmabuba@gmail.com

Views: 4924

Reply to This

Replies to This Discussion

hata mimi nakuunga mkono...i'm a translator by profesional.......sherryrosey@gmail.com

 

Nimeshajitolea bure kwa watengeza filamu wawili cha kushangaza hawataki wanarudia kuwatumia wasiojua kiingereza tena kwa kulipwa, iwekwe sheria alietafsiri atajwe jina lake tumcheke binafsi
tatizo la bongo wanapenda udugunization bila kujali taaluma wala ubora wa kazi.................

Jamani wabongo tukae tukijua fani ya filamu TUNACHEMSHAA,mimi nitazungumzia upande mmoja ambao labda watayarishaji hawaoni umuhimu wake lakini tafsiri yake ni sawa na kumwonyesha mtu anayelia wewe ukatafsiri kuwa anacheka........Je, hapo hatuoni upotoshaji wa 'theme' za filamu zetu?

Nazungumzia TRANSLATIONS zinazofanyika katika baadhi ya filamu zetu za kibongo....ni aibu.....sijui hakuna editing baada ya kumaliza kutayarisha hizo filamu kabla ya kuzipeleka sokoni au niwe na wasiwasi na uelewa wa LUGHA inayotumiwa hasa UWEZO WA TRANSLATORS.Jamani, TAFSIRI za filamu hizo zinavyokosewa!

Kama lengo ni kuziingiza filamu zetu kwenye soko la dunia BADO kuna KAZI KUBWA ya kufanya,tafadhalini lugha ya kiingereza ni lugha ya kimataifa,tafuteni watu wanaoweza kutafsiri filamu zenu kwa usahihi na kama hilo ni gharama,tumieni lugha yetu tu ya kiswahili JAPO nayo mnaichakachua kwa kuizidishia kuiremba na kuiwekea viimbo vya kiingereza!!!

It not too late,just pull up your stockings,you are working hard,yes, kasoro ni hiyo tu.

Achaneni na translations za 'word to word' na zile za 'kihindi'...............

 

Sherry, umesema wewe ni translator by ????? ha ha ha ha wale wale........
Ndo maendeleo hayoooo!!

Kwanza nawapongeza kwa hapa walipofikia,ninacho waomba waachane na kitu umimi na wafanye kazi ya fani, ili movies au michezo ipendeze lazima ushilikiano kati ya mtunzi na muogozaji pamoja na wasanii na yule mtu wa mwisho Ambae ni mzalishaji (producer) lakini hao watu wote niliowataja usije ukashangaa akawa mtu moja, na hana hata msaidizi, sina utalaam wa mambo ya film lakini ni mfatiliaji kidogo wa movie, lazima kugawana kazi, kama wanavyofanya mastaa wakubwa, kimfano wa "Kingi of Bollywood Shahrukh Khan" walivyo gawana kazi na mkewe Gaur Khan. 

I also offer to chip in a hand of help, yeah the subtitle translation is a bit wanting i have seen it in most movies

hawa wapuuzi wanafanya watu kama sisi tusiangalie hizi snema zao hata kwa dakika 2.C JAWAHI KUANGALIA MOVIE YA KIBONGO sababu ni kinyaaa.kwa tatizo hilo msiwashangae kwani wanatumia  goole translation!111

hahahahahahahahaha haya bhana

Ni ushamba umewazidi

Poa congrats kwa kipaji

RSS

ADVERTISEMENT


Advertisement

 

Forum

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service