Ndugu zangu watanzania ni mara ingine tena nimemua kutoma dukuduku langu lililouchoma moyo wangu. Hivi majuzi tu nilichangia kuhusu mshahara wa kima cha chini cha mfanyakazi wa serikali yetu.
Leo nimekuja na jambo jipya kabisa, na nimeona niwaletee mjaribu kuliangalia kwa undani wake.
Kila siku tunaangalia TV zetu na kuona matangazo mengi, mengi yake yanamdhalilisha mwanamke kwa kumweka uchi, lakini tangazo ambalo limevuta hisia zangu kwa muda mrefu ni hili la BIA YA KILIMANJARO. Ki ukweli hili tangazo halijaandaliwa ki-zalendo maana bendera ya taifa letu instahili heshima ya hali ya juu sana. kuitumia kutangazia Pombe ni kuonyesha watanzania wote tumekithili kwa ulevi, bendera yetu ambayo inapopandishwa na kushushwa sharti kila mtu asimame na kutoa heshima yake, leo mtu tu tena kutoka uhindini anakuja kuitangazia POMBE. Jamani tunakoenda wapi sasa huku,

Views: 12

Reply to This

Replies to This Discussion

Bado sana tu karibu tu tutaona Raisi mwenyewe kwenye Tangazo la Bia
mi sioni ubaya wowote kutangaza bidhaa yeyote ya kitanzania kutumia alama ta taifa kama bendera.tena bwana maduhu umekosea,ninavyofahamu mimi bia ya kilimanjaro haikuletwa na watu kutoka uhindini,ni bidhaa ya kizalendo hasa,kuanzia materials zake zinatatoka nyumbani mpaka jina linatangaza mlima wetu mrefu africa tunaojivunia,kwa hiyo ni sawa tu kwa kutumia rangi ya bendera ni sawa kutangaza utalii.

tena bwana Elly Maduhu,kwa taharifa yako,watanzania wanaoishi ughaibuni wamemwomba huyo muheshimiwa rais,pamoja kuruhusiwa kuwa na uraia wa nchi mbili(yaani wa kitanzania na wa nchi nyingine),vilevile wanasisitiza na kuomba watu waruhusiwe kutumia bendera yetu ya taifa wakati wowote tunapojisikia.wakati wenzetu wanabeba bendera zao kwenye matukio ya michezo,matamasha nk,sisi bado na adabu za kale tu,bendera ni kitu cha kujivunia sio kukiogopa kama mwaka 1962
Je wale wanaofunga vilemba kichwani, wanaidhalilisha? Elewa bendera ni utambulisho wa nchi wala si vibaya alama zikiwekwa kwenye matangazo ya bidhaa mbali mbali.
Maduhu usijali. Bendera ni nyota ya nchi. ikionekana tu watu hujua mara moja kuwa hiyo ni Tanzania. We funga kilemba, vaa kama kanga, shona gauni au kanzu , ni sawa tu. Usisikitike.

Kama ni woga fanya kwa mambo mengine. kama kutenda dhambi ya aina yoyote imchukizayo Mungu hapo nitaelewa. Kwa bendera tuu!!!!! hapa sijui mchemsho!

RSS


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
2 hours ago
Theddy Jacob liked GLOBAL's blog post SETH AFUNGUKIA PENZI LA LULU, KANUMBA
4 hours ago
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Kumbe ww Ilya Upo Iran? nilikuwa sijui mpaka nimesoma profile yako, nakuhurumia kwa kusema uongo…"
8 hours ago
asha liked GLOBAL's blog post Mapenzi ni fursa, iheshimu kwa maana haiji mara mbili
8 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Dada Saumu,@ kuhusu kupotea kaburi la mama yako,nakupa pole sana kwa hilo,na hilo limetokana na…"
9 hours ago
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
"hi jazihina vipi hali sorry nimechelewa kukujibu  "
10 hours ago
chiya left a comment for chiya
"hi vipi hali sorry nimechelewa kukujibu "
10 hours ago
kajerekani commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Gold digger

"hii ni kali ya mwaka"
11 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Ooh!! asante IL-YA kwa hiyo habari kweli waarabu sio watu wengi wao hawana utu kabisaa na watoto…"
12 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website