Kwa
Yah: Tunawaomba kusitisha kuwahamisha watu 162,000 nchini Tanzania
Ndugu Waheshimiwa
Hivi karibuni nime kuwa na ufahamu wa mipango mikubwa kwa ajili ya manunuzi makubwa ya ardhi katika Tanzania na Kampuni ya nishati ya AgriSol. Ardhi hii inayouzwa ina ukubwa ekari 800,000 (325,000 ha) ambapo itajumuisha kufukuzwa kwa watu wanaoishi katika makambi ya wakimbizi wawili wa zamani. Wakati biashara hii ya kilimo imehalalishwa kama jitihada za kukuza usalama wa chakula katika Tanzania, hofu yangu ni kwamba badala ya kuleta manufaa itakuwa ni kinyume chake.itakuwa. Tafadhali wahusika wote pamoja na waliotajwa hapo juu msitishe mpango huu. Kufukuzwa kwa wakazi wa sasa wa sehemu hizo kwa ajili ya biashara hii kutahatarisha maisha ya watu zaidi ya 160,000, lakini tishio la usalama wa chakula halitakuwa limetatuliwa. Pendekezo lako la mkakati mpya litasababisha utumiaji wa mbegu zisizo asilia ‘new genetically modified organisms’ (GMOs) Utumiaji wa mbegu hizi (GMOs) katika Tanzania zitaleta madhara badala ya faida (usalama wa chakula) GMOs hi hatari zinaweza kutishia viumbe hai na kujenga utegemevu wa mbegu mpya kutoka nje ya nchi na kufanya wakulima wadogo kutoweza kumudu. Nina wasiwasi pia kuwa sehemu ya mradi huo utatumika kuzalisha nishati ya mimea (biofuel), hali ambayo itasababisha kupunguza kiasi cha ardhi ambayo ingetumika kwa ajili kilimo cha chakula. Mradi huu unatishia maisha ya watu ambao kwa sasa wanaishi katika ardhi hiyo pamoja usalama wa chakula kwa ujumla kwa hali hiyo mradi huu siyo halali. Hofu yangu ni kuwa mradi huu utaruhusiwa utasababisha uharibifu wa sheria za umilikaji wa ardhi katika Tanzania ikiwa ni pamoja na kuhatarisha usalama wa chakula.
Nawasihi wadau wahusika kusitisha mradi huu!
Wako mtiifu
NB Tafadhani BONYEZA HAPA ili kupaza sauti yako kuzuia mradi huu usiyo na faida kwa Tanzania! Mradi huu utaharibu ardhi na kuleta mbegu za GMO ambazo hata Ulaya zinapigwa marufuku. Malalamiko au petition kwa jina la kigeni ni haki ya kila binadamu kuhoji au kulalamikia dola kusitisha kitu chochote ambacho wananchi hawataki kifanyike. Angalia “The Magna Charta of 1215 and the English Bill of Rights of 1689”
Tags:
Permalink Reply by ɹǝןןǝʌɐɹʇ on December 1, 2011 at 4:00pm Hakuna anayejitokeza kumfunga paka kengele! Hata kama hutozikilizwa lakini bora kupinga kellele kuliko kukaa kimya! Kukaa kimya kunawapa urahisi walarushwa kuendelea KULA.
Je mmesikia hii ya JK? Sasa ndo mjuwe lazima watu tupige kelele.
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
chama baby |
| 5 |
Sili Silali |
| 6 |
IL-YA |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
mohd nasser |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Hellen Attarsingh Gupta |
Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
