All Discussions Tagged 'HAPA' (1)

Discussions Replies Latest Activity

NI MTANDAO GANI WA SIMU ZA MKONONI HAPA NCHINI UNAFURAHIA HUDUMA ZAKE?

Started by GLOBAL

118 Apr 26, 2013
Reply by Billy Frank Irungu

RSS

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson on Friday. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson on Friday. 28 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson on Thursday. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson on Friday. 45 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson on Friday. 74 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson yesterday. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 20 hours ago. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson 2 hours ago. 21 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

TOP NEWS WEEK HII

Latest Activity

Iam Pog Horolan posted a status
3 minutes ago
jus ctobeli posted a status
4 minutes ago
jus ctobeli posted a status
7 minutes ago
mirki posted a status
9 minutes ago
Profile Iconnimki, Nick Mellar, Richard Sharp and 9 more joined Global Publishers
10 minutes ago
Iam Pog Horolan posted a status
12 minutes ago
Adela Kinyamagoha commented on GLOBAL's blog post WAKILI WA MOYO-68
"Mnaboa mmerudia ya nyuma kwa kiasi kikubwa"
12 minutes ago
Juma Kambuki commented on GLOBAL's blog post Merciless Signature (Sahihi Isiyo na Huruma-21)
"hiii tamu"
12 minutes ago
LISTO BRISTO commented on GLOBAL's blog post BODABODA ACHINJWA KWENYE FUMANIZI
"Ni bora angemuacha mke na kumpa kichapo kizito ili ajifunze hata huko anakokwenda kwa nn akubari…"
12 minutes ago
Ng'wanashija commented on GLOBAL's blog post DAVID KAFULILA NA JESSICA KISHOA WALIVYOMEREMETA
"Hatimaye "tumbili" kaoa... First born napendekeza aitwe ESCROW WEREMA KAFULILA...."
12 minutes ago
Abuu Ayman Aslam commented on GLOBAL's blog post BODABODA KIBANONI POSTA
"Hii ndio Bongo bhana kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake!"
12 minutes ago
Matilanga Lukingita commented on GLOBAL's blog post MBRAZIL EMERSON KUZIBA PENGO LILILOACHWA NA JAJA ALIYEKATISHA MKATABA NA YANGA
"Wamekubali hatimaye. Tulishawaambia huyo si mchezaji. Maximo amewaita wabrazil wenzake kuja…"
12 minutes ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service