Burudani (136)

Featured Discussions

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya jijini London kwa kitita cha pauni milioni 37 sawa na shilingi bil…

Started by GLOBALLatest Reply

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma Kaseja. Simba SC kupitia kwa Mwenyekiti wake wa Kamati ya…

Started by GLOBALLatest Reply

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MC…

Started by GLOBALLatest Reply

Discussions Replies Latest Activity

http://www.reddit.com/r/Yggdrasill/comments/35qe42/hdqonlinebayern_munich_vs_barcelona/

http://www.reddit.com/r/Yggdrasill/comments/35qe42/ http://www.reddit.com/r/Yggdrasill/comments/35qe42/ http://www.reddit.com/r/Yggdrasill/

Started by onikkosta

0 May 12

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya jijini London kwa kitita cha pauni milioni 37 sawa na shilingi bil…

Started by GLOBAL

91 Apr 20
Reply by Joe reggan

http://boston2014.design4drupal.org/session/imdbnews-insurgent-online-full-movie-hqpxi

http://boston2014.design4drupal.org/session/imdbnews-insurgent-online-full-movie-hqpxi http://boston2014.design4drupal.org/session/imdbnews

Started by Elline Morre

0 Mar 20

https://www.youtube.com/playlist?list=PLm3BPq4CLOYz-fKZD5AJ-iDrr7okDyO32

https://www.youtube.com/playlist?list=PLm3BPq4CLOYz-fKZD5AJ-iDrr7okDyO32

Started by jeff santos

0 Mar 11

JE, MAXIMO ATASHANGILIA TIMU GANI KATI YA BRAZIL NA TAIFA STARS JUNI 7?

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Stars, Marcio Maximo ambaye pia ni raia wa nchini Brazil, Jumatatu ijayo Juni 7 atakuwa na wakati mgumu kuchag…

Started by GLOBAL

2 Mar 4

God Bless You.... Now, and Always....

When I was a kid, my mom liked to make breakfast food for dinner everynow and then. And I remember one night in particular when she madebre…

Started by GLOBAL

1 Mar 4

http://ivents.co.za/groups/livemichigan-vs-maryland-live-m-basketball/

http://ivents.co.za/groups/livemichigan-vs-maryland-live-m-basketball/ http://ivents.co.za/groups/livemichigan-vs-maryland-live-m-basketb

Started by OI Roman

0 Feb 28

http://ivents.co.za/groups/six-nationfrance-vs-wales-live-rugby/

http://ivents.co.za/groups/six-nationfrance-vs-wales-live-rugby/ http://ivents.co.za/groups/six-nationfrance-vs-wales-live-rugby/ http://…

Started by OI Roman

0 Feb 28

Relocate Your Office or Home Easily - General Information for Relocation

  No person desires to shift using their set up spot. Although someday they need to consider this specific ache thanks just one or perhaps…

Started by vijay prakash

0 Feb 24

www.reddit.com/r/mamas0ra/comments/2vddqa

www.reddit.com/r/mamas0ra/comments/2vddqa www.reddit.com/r/mamas0ra/comments/2vddqa www.reddit.com/r/mamas0ra/comments/2vddqa www.reddit.co

Started by riddic12345

0 Feb 10

RSS

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa May 18. 0 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by Joe reggan Apr 23. 4 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by Joe reggan May 9. 5 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by Joe reggan Apr 24. 2 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by Joe reggan May 4. 3 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 5 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Joe reggan May 4. 20 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 32 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }