Photos

Loading…
  • Add Photos
  • View All

ADVERTISE HERE


ADVERTISE HERE

G5 CLICK - LATEST NEWS

EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.

Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM…

ZILIZO TOP WIKI HII

TOP PHOTOS ZA WIKI

Members

SACHQUES FASHIONS

MICHUZI JUNIOR

HAKI NGOWI

ABDALLAH MRISHO

Videos

  • Add Videos
  • View All

Badge

Loading…
 

News Posts

MFUKO WA GEPF WATOA SEMINA MAALUM KWA WAMILIKI WA HOTELI NA NYUMBA ZA WAGENI (GUEST HOUSES) MKOANI DODOMA

Posted by GLOBAL on November 24, 2014 at 2:19pm 0 Comments

Waziri wa Kazi na Ajira,Mh Gaudentia Kabaka akifungua rasmi semina maalum kwa wamiliki wa hoteli ya nyumba za kulala wageni wa Mkoa wa Dodoma,iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Dodoma Hotel.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF, Bw. Daud Msangi akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi mara baada ya ufunguzi wa semina maalum kwa wamiliki wa hoteli ya nyumba za kulala wageni wa Mkoa…

NEW AUDIO: FOREVER LADY JAYDEE FT. DABO

Posted by GLOBAL on November 24, 2014 at 1:30pm 0 Comments

KIJANA SULEIMAN OTHUMAN KUTOKA ZANZIBAR ANAOMBA MSAADA WENU

Posted by GLOBAL on November 24, 2014 at 12:30pm 0 Comments

Pichani kijana Suleiman Othuman akiwa amelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja.

Assalam Aleikum ndugu zangu mnaotusoma kwenye blog hii kila siku, msaada unahitajika kwa kijana Suleiman Othman Ally mwenye umri wa miaka 19, mkaazi wa Zanzibar, amepatwa na tatizo la uvimbe mkubwa kwenye mgongo wake baada ya kupatwa na ajali  kugongwa na Vespa kwa muda wa siku nyingi tu, walimpeleka Hospitali ya Mnazi mmoja ambapo ilishindikana kupata matibabu kutokana na damu nyingi aliotoka wakati wa upasuaji, hivyo kuwalazimu kumshona bila ya kumfanyia operation…

MH. UMMY MWALIMU KATIKA ZIARA YA KIKAZI WILAYA ZA MKINGA NA PANGANI

Posted by GLOBAL on November 24, 2014 at 12:30pm 0 Comments

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mh. Ummy Mwalimu akikabidhi kadi ya (UWT) kwa Bi. Halima Kassim mmoja wa wanachama wapya katika Kata ya Maramba, Wilaya ya Mkinga. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mh. Ummy Mwalimu (Wa nne kutoka kulia) akipata maelezo ya ujenzi wa maabara kutoka kwa Mwalimu Cyprian Taabani kutoka Shule ya Sekondari Daluni, wa kwanza kulia ni Diwani wa Kata ya Daluni Mwanakombo…

UCHAGUZI WA RAIS TUNISIA

Posted by GLOBAL on November 24, 2014 at 12:40pm 0 Comments

Wananchi wa Tunisia leo wanapiga kura katika uchaguzi wa kwanza wa Rais tangu kutokea vuguvugu la mapinduzi mwaka 2011.

Mapinduzi hayo yalisababisha vuguvugu hilo la mabadiliko kutabakaa katika nchi nyingine za Kiarabu.

Miongoni mwa wagombea katika kinyang'anyoro hicho ni mwanasiasa mkongwe Beji Essabsi, aliyewahi kushika nafasi muhimu wakati wa utawala kabla ya kutokea mapinduzi.

Bwana Beji Caid Essabsi anayepewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi huo ameahidi kurejeha kiwango cha juu cha utulivu wa kisiasa na kiuchumi.

Mpinzani wake wa karibu ni Rais wa mpito wa sasa Moncef Marzouki ambaye amejenga jina lake kama mpigania haki za binadamu na kama msimamizi wa moyo wa mapinduzi na anayetamani mabadiliko. Waziri wa…

AIRTEL PREMIER YALINDULIWA JIJINI DAR‏

Posted by GLOBAL on November 24, 2014 at 11:54am 0 Comments

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji na Uwekezaji), Dk. Mary Nagu (kulia), akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya (wa pili kushoto), wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mpango Maalum wa Airtel kwa wateja wake wakubwa ‘Airtel Premier’ utakaowawezesha kunufaika na huduma za hadhi ya juu katika viwanja vya ndege Duniani na pia kupata punguzo la hadi asilimia 30 watakaponunua bidhaa na kupata huduma mbalimbali nchini, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.…

RATIBA YA TAMASHA LA FILAMU

Posted by GLOBAL on November 24, 2014 at 11:08am 0 Comments

MTOTO ATUMIWA KUMWIBA MTOTO, AKAMATWA...

Posted by GLOBAL on November 24, 2014 at 4:00am 0 Comments

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro

Hatari! Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8 (jina linahifadhiwa kimaadili), mkazi wa Kihonda mjini hapa anayesoma darasa la kwanza kwenye Shule ya Msingi Noto Sosario, anadaiwa kutumika kumwiba mtoto mwenzake kisha kukamatwa na kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira zaidi ya 300.

Mtoto mwenye umri wa miaka 8 anayedaiwa kutumika kumwiba mtoto mwenzake.

Tukio hilo la kushangaza lililonaswa na Ijumaa Wikienda…

Advertisement

 
 
 

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson on Friday. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson on Friday. 28 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson on Thursday. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson on Friday. 45 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson on Friday. 74 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson on Saturday. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson yesterday. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson 12 hours ago. 21 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service